المدة الزمنية 6:47

FAHAMU HISTORIA YA NOTI ZA TANZANIA

بواسطة Global TV Online
70 955 مشاهدة
0
271
تم نشره في 2019/05/28

FAHAMU HISTORIA YA NOTI ZA TANZANIA Baada ya kuvunjwa kwa Bodi ya Sarafu ya Afrika ya Mashariki na kuundwa Benki Kuu ya Tanzania, Kenya na Uganda mwaka 1966, Benki Kuu ya Tanzania ilitoa noti za kwanza zenye thamani ya shilingi 5, 10, 20 na shilingi 100. Upande wa mbele wa noti hizi kulikuwa na sura ya mwalimu Jullius Nyerere na upande wa nyuma ulionyesha mambo mbalimbali yaihusuyo Tanzania. #BENKIKUUTANZANIA Https://www.youtube.com/watch/N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 42