#katai #mapishirahisi #vileja
INGREDIENTS:
2 cups flour
1 cup powdered sugar
1 tsp vanilla
1 cup oil
Jinsi ya kupika chapati laini za kusukuma bila kukanda sana | How to make soft chapati: /watch/cW2lQ20BkA7Bl
jinsi ya kutengeneza mahamri/maandazi laini ya iliki: /watch/Epc_eZuxzWWx_
jinsi ya kupika viazi vya nazi | viazi ulaya | mbatata | viazi mviringo vya nazi | mapishi: rahisi/watch/wIeTE2vm7NGmT
Manda ya kufungia sambusa | Jinsi ya kutengeneza kaki / manda za kufungia sambusa nyumbani: /watch/w8hCeUIh1o5hC
Jinsi ya kutengeneza ice cream nyumbani bila kifaa maalum ya icecream | strawberry ice cream recipe:
/watch/IgzzOuY1vQY1z
Jinsi ya kutengeneza biriani/biriyani nyumbani | Jinsi ya kupika biriani ya kuku | chicken biryani: /watch/g84GoeqG3HhGG
Jinsi ya kupika Pilau la kuchambuka kwa njia rahisi | Easy pulao recipe | Mapishi Rahisi: /watch/UTar1JH7wVP7r
Jinsi ya kuoka keki bila: oven/watch/Iq5g-IjcGP8cg
Mapishi ya katlesi za samaki | Mapishi rahisi: /watch/App5EbTCzpvC5
JINSI YA KUTENGENEZA DONASI TAMU NA LAINI KWA NJIA RAHISI - Mapishi Rahisi: /watch/I8zwr5f4R2J4w
Jinsi ya kutengeneza katlesi za mayai/ egg chop - Mapishi rahisi: /watch/shEOmZL2-Sp2O
Sambusa za nyama | Jinsi ya kutengeneza sambusa za nyama: /watch/onpS-h35-wH5S
Jinsi ya kutengeneza juisi ya maembe na tangawizi tamu sana na nzuri kwa afya: /watch/YxIT9MOY4R1YT
FOLLOW US ON:
Facebook: https://www.facebook.com/mapishirahisi
Instagram: https://www.instagram.com/mapishirahisi
@munirauweso24285 years agoMaashallah you're extremely amaizing 1
@
@goldensparrow15075 years agoMashallah kitu safi. Tuletee barfin zile za kufanywa na vidude zinatoka shape nzuri.. 6
@
@habibamahamed55875 years agoMashallallah thanks l have learnt something new bless u dear
@
@sumayyamumbi4 months agothank you siz I have tried they are so sweet 1
@
@muniraabdul2055 years agoI tried them and they were perfect.thanx so much mummy. Mwenyezi Mungu akuzidishie. Ameen
@
@nigistsheikh78192 years agoShukran san madarasa yako mazuri . Allah akulipe kila la hapa hatuweki baking powder? 2
@
@khairunnoormohamed50313 years agoLeo nime jaribu kufanya khatai my hubby and my kids there likes Mashallah is very nice Jazakallah for recipe
@
@abudybader67932 years agoShukraan hbbty mungu akubariki yarabby
@
@zznbnuru85104 years agoJAZAKALLAH KHEIR my dear,I have tried this reciepe today and they were Good Mashaallah,Have shared with my family members and they loved them,I have shared your recipe too,JAZAKALLAH KHEIR😘
@
@binthamoudshariff54925 years agoMashaAllah. Je ukitumia siagi au samli inafaa
@
@fatumagamsh55053 years agoNdo natak kujarib Sasa naona watu 😋😋😋😋😋 sipat picha aiseee mashaallah
@
@selmezahor469611 months agoShukran jee kama hupendi kuwek vyanila jee unawez ukawek ilik tu
@
@asiasalum55134 years agoShukran, na tufunze vakula va chumvi pmj na vipimo va balfin
@
@hafsahassani71564 years agoAmaizing san naomba mtuletee kokotende
@
@mariamissaahmed76755 years agoNzuri na rahisi Shukran sana Allah akubariki
@
@samirbazaar22905 years agoShukran Sana ka recipe zako mamy najifunza mengi 3
@
@hayatia34415 years agoThis is loved Somali sweet called Icun specially in Eid 3
@
@SalmaAlly-sl1eo8 months agoassalama alaykum vipi hali, habibty ety huo unga unakuwa kiac gani kuipima kwa mezani?
@
@mauricealgorithm73205 years agoThis is my today breakfast.Thanks lady. 2
@
@zuwenakabesela51505 years agoAhsante saaaaana dada Mwenyezi Mungu aiweke miaka yote inshaallah 1
@
@MrsA1796 months agoCan you tell us are we using baking or plain
@
@mariamissa25264 years agoAsalam alykum, mm naomba kuelekzwa juu ha kuset moto hapo ulitumia moto wa chin tu
@
@amnemohammad73674 years agoAssalam aleikum I tried this recipe is it normal the katai ziwe na cracks
@
@samirbazaar22905 years agoMasha Allah leo wakwanza usishangae mm Ni mwanamke mamy
@
@sheilasmith98823 years agoKma cna hiyo karatac naeza kufanyaje?na oven yngu ni ya zamani ktk moto nawasha moto wa chini au juu?
@
@mwanaishambili2415 years agoMashaallah zury lkn zukari kiac ckujuwa
@
@annem.w48784 years agoNaulizaje, huo Moto Kwa oven ni juu na chini au chini tu? 1
@
@prettyisha83604 years agoMashaAllah ila kama ni mwanzo kupika zachomwa VP kwa mafuta au wafunikia makaa???
@
@nooromar87434 years agoKm Huna sukar ilosagwa waweza Tumia sukar nyeupe?
@
@rachelpesha6524 years agotray uliipaka mafuta kabla ya kuweka baking paper??
@
@rachelpesha6524 years agohizo 2 cup za flour ni nusu au kwa sisi tusio na measure?
@
@rachelpesha6524 years agokama sina baking paper je haziwezi kutoka??
@
@sadaawadhi984 years agoHabbty kama sina sukari ya kusaga naweza kutumia sukar ya kawaida???
@
@amhankham63485 years agoKwa mfano huna rangi je nandy orange inaweza kufaa badala ya rangi?
@
@fahimhajialadina7425 years agoAslm I was asking some peoples puts baking powder kwa katai huwa yasaidia nini
@
@supamaridadi39004 years agoPia waeza kutia katai color yoyote Leta recipe nyingi nyinyi Sana
@
@mariamj43585 years agoJe waweza kueka blueband na bakin soda??
@
@badriaahmed24754 years agoAsalam aleykum naomba kuona kikombe ulicho tumia hivi vipimo au kikombe chochote na unafanya kipimo chicho
@
@cimraanmuktar41005 years agoThis is super duper easy thanx sis. What can l substitute with vanilla powder.
@
@timafarid41894 years agoZangu zinaungua. Alafu skari naeza kusaga ya kawaida.
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Mapishi ya katai kwa kutumia viungo vitatu tu tamu sana | Vileja vitamu sana kwa njia rahisi: