المدة الزمنية 1:37

TUNAUZA PAMPU ZA MAJI ZINAZOTUMIA NGUVU YA SOLAR | WE SELL SOLAR PUMP - DSM

بواسطة Kilimo Tanzania
1 036 مشاهدة
0
8
تم نشره في 2020/05/21

TUNAUZA PAMPU ZA MAJI ZINAZOTUMIA NGUVU YA SOLAR | WE SELL SOLAR PUMP - DSM /watch/A4-SUJmsHxKsS @joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani Aridhi na maji ndio msingi mkuu wa kilimo, hivyo changuzi ya aridhi ya kilimo lazma izingatie chanjo cha maji. Chanzo cha maji chaweza kuwa mto, kisima, bwawa, chemchem au ziwa. Mara nyingi ili uweze kutumia haya maji ni lazma uwe na pump ya kump haya haya maji ili kuwagilia eneo liliopandwa mazao. Changamoto kubwa kwenye maeneo ya kilimo ni kutokuwepo wa umeme, hivyo matumizi ya Solar Pump yanabaki kuwa ni njia pekee maana hayana gharama kubwa za uendeshaji kwakuwa hutegemea nishati ya jua. Makala ya pili tutaeleza aina ya pumpu za solar tulizonazo ambazo ni nzuri na hufaa sana kwa shughuli za kilimo. #solarpump #pumpuzasolar #solarpanel #waterpump #pumpzamaji #maji #watertank #solarenergy #tunauzapumpu #wesellwaterpump Tunapatikana Tegeta- Wazohill, Barabara ya kiwandani, Dar es salaam, P. O. Box 67414. #dripirrigation #mifumoyaumwagiliaji #dripirrigationsystem #kilimochamatone #kilimochaumwagiliaji #kilimochakisasa Simu: +255 712 25 31 02(WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: kilimotz3@gmail.com YouTube: /watch/wnftHqLyLxUyt Website link: https://joackcompany.business.site/ Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9 #joack #joackcompany #joackvetcenter #Kilimo #kilimotz #mifugo #mifugotz #mbogamboga #tanzania🇹🇿 #kilimo #agricultural #tanzania #papai #nyanya #vitunguu #daressalaam #morogoro #tango #tikiti #karoti #piripiri #farming #viazilishe /watch/A4-SUJmsHxKsS

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1