MAHAKAMA Kuu kitengo cha Uhujumu Uchumi na Makosa ya Rushwa, maarufu kama Mahakama ya Mafisadi, imemhukumu blogger Shamimu Mwasha (41), na mume wake Abdul Issa Nsembo, (45) kutumikia kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 138
@
@maryamumapenzi1257منذ 3 سنواتMungu wangu niepushe natamaa za duniani 1
@
@mariamibrahim3162منذ 3 سنواتNiatari tams iyi mungu nisaidiy mm na mumewangu tukule bidogo tulale mapema
@
@dorislema1814منذ 3 سنواتwamekosea sana tena sana kuaribu vijana wakitanzanai kuwafanya machiz lakin wasamehewe tu jaman nawaache iyo tabia
@
@dorcaskidoti249منذ 3 سنواتNgoja niendelee kuosha vyombo warabuni na kusugua masiki
@
@KaskasTHEfinderCLIPمنذ 3 سنواتWhy maisha. watu wanabadirika,si vzuri 4
@
@ashminaabdullah7049منذ 3 سنواتHivi kweli km kweli hili jambo alafu tunakuoneni na kukuiteni wanawake wa shoka inauma Allah akupeni subira na familia yote
@
@florencebudoya3814منذ 3 سنواتUhuru ni utajiri tosha. Tamaa ya kuitwa dons kumewaponza. 2
@
@munirashughuli7224منذ 3 سنواتIwe funzo kwa wengine wametuwaribia vijana wetu hawa wauzaji unga wallah 12
@
@user-ot2io4cy6wمنذ 3 سنواتMasikini daaah.!!!♂️♂️♂️ Inauma sana ila ndio sheria imeshaamua hivyo. 2
@
@kreamagdfsa1697منذ 3 سنواتSubhana allah tustiri waja wako tuache tamaa kama unawatoto ushawapa mtihan wallah 2
@
@vanessalaizer4363منذ 3 سنواتMamaa weeee sasa watoto wao vipi mwee that’s a tragedy hasa kwa uyo dada♀️♀️♀️ 5
@
@anicyaedward5605منذ 3 سنوات♂️♂️♂️bora niwe maskn mm daaa adhabu kwa watoto 10
@
@khayriyamussa4323منذ 3 سنواتWakamatwe wte wanaoleta na kuhisika nauwezekano wakudhibitika usiingie upo lkn kwanini ishindikane? Inamana Kuna watu wandani wanaohusika kuleta. Allah atulinde nahaya majanga.
@
@happynelson5856منذ 3 سنواتH Nyie mnaosema wahurumiwe sababu wana watoto kwani wenyewe walikuwa hawajui kuwa wana watoto wakati wanafanya biashara hiyo ina maana mtataka id="hidden3" class="buttons"> kila mtu akikamatwa na madawa wenye watoto wahurumiwe sasa je wakihurumiwa si ndiyo watakuwa wengi sababu ya kuhurumiwa na wakiwa wengi si ndiyo taifa litazidi kupoteza vijana kwa madawa ....وسعت4
@
@mamaafricankenya2501منذ 3 سنواتJamani wata zeeeka gerezani jesu♀️♀️ 5
@
@ibrahimnadir4490منذ 3 سنواتDah naskitika nachukia wauza unga lakin najiuliza vipi yule aloiba bilioni karibu 4 mbona hafungwi
@
@michelinemapendo6652منذ 3 سنواتAngalikuwa ulaya wazungu wangelimunyanganya watoto milele polendugu 1
@
@agnessmsacky6657منذ 3 سنواتMahakama angalieni watoto Mali hizo wapeni watoto tambueni nanyie mnawatoto mungu halali leo kwahao watoto Mali mnazitaifisha kesho kwa watoto wenu mungu id="hidden4" class="buttons"> analiona hili wewe hakimu onyesha huruma kwa hizo Mali za watoto kwa urithi wa baba yao sisi binadamu tumeona lakini mungu anaona zaidi ....وسعت1
@
@chantalmulasi5663منذ 3 سنواتApandacho mtu ndi cho ana cho kivuna pole sana
@
@neemayatosha1618منذ 3 سنواتJamani,jamani kama ni kufungwa maisha basi wakamatwe wote ni wengi mno. Sheria isiwe kwa baadhi ya watu,mtandao huo ni mkubwa mno.Dah! Shamimu id="hidden5" class="buttons"> laiti ungelijua ile harusi iliyotingisha mji ingeleta yote haya hata usingeitamani masikini, nimekuonea huruma,hasa watoto. ....وسعت3
@
@thiamdjamila9427منذ 3 سنواتNa wakome tama ya maisha imewaponza nyiye munasema maskini watoto wawo alafu mateja awana wazazi wa kuwaliliya ulicho panda ndicho utavuna machozi ya wazazi wamateja yamewaludiya mungu mukubwa nimefurai
@
@deodadeo2016قبل 4 أشهر40 ikikufkia hata ukikata rufaa kiuchumi utayumba tu, kwa kesi kama izi.
@
@jumahaji2938منذ 3 سنواتNi nzuri iyoo ukumu lakini wangeukumiwa kifo ingekuwa nzuri zaid upande wangu lakini ☝️
@
@jsbddhnxjdhhdhd1493منذ 3 سنواتAcha niwe mfanya kazi wa ndani tu wa warabu kuriko utajilo huu 4
@
@salmaathuman9156منذ 3 سنواتAISEE TUACHE TAMAA JAMAN TAFUTA KWA JASHO LAKO KULIKO UTAJILI WA HARAKA MATOKEA YAKO UNAZEKEA JELA NA KUACHA WATOTO WAKO WANAHAANGAIKA ACHA NIBAKI MASIKINI NIISHI KWA FURAHA NA PIA MAMBO YA KUMPENDEZA MUNGU 2
@
@KaskasTHEfinderCLIPمنذ 3 سنواتHakimu hta roho ya uhuruma auna kweli,duu muogope ALLAH,kesho tuna hukumiwa wote kaburini 3
@
@theceefamily7764منذ 3 سنواتPoleni sana hata pia kwa watoto wao,marafiki na familia kwa jumla 1
@
@kreamagdfsa1697منذ 3 سنواتKwa kweli biashara nyengine wala sio za kufanya malipo hapa duniani munateketeza taifa hasa vijana kwa maslahi yenu binafsi vijana wanazungumza kama bun'go id="hidden8" class="buttons"> utawasikia mke wa kihindi ananywele mpaka mgongoni siwez kumuacha mtihan kwa kweli ....وسعت2
@
@zmaal7702منذ 3 سنواتWatoto watapata wasamaria wema wa kuwalea kuliko kulelewa na wazazi km hawa.kwn ni adui wa taifa la kesho
@
@othmanjuma9611منذ 3 سنواتTatizo kutaka maisha ya haraka hyo ndio faida yake
@
@anahna6788منذ 3 سنواتDada mzuri Lakini ANAPENDA dhambi Kuna dhambi unaweza kujikwaa ukafanya Lakini siyo za kuuza madawa ya kulevya kuuwa kuiba kuingiliana kinyume id="hidden9" class="buttons"> na maumbile Kudhurumu Na nyingine nyingi Ukizifanya hizo ujue tu wewe unahatalisha maisha yako kama siyo kuyaharibu kabisa ....وسعت2
@
@RandB_Channelمنذ 3 سنواتJamani si wangewahumiya??? Yooooo huruma miye Jamani wana watoto wadogo
@
@adelinalubeleje4110منذ 3 سنواتSasa mali zikitaifishwa watoto watasomaje
@
@kreamagdfsa1697منذ 3 سنواتNa huna hata cha kuwaachia watoto mali zote ndio za serekali sasa kuna faida gani hapo 2
@ivaniavianarodrigo7201منذ 3 سنواتhiki kifungo kina visasi ndani yake, sio haki gramu 200, ndo kumuhukumu maisha??. 2
@
@adolphmwangoje2887منذ 3 سنوات kesi hizo co kifungo Cha maisha kunakingine chini ya kapeti jmn co bure vijna wanakuLa ngada huko kijinga kwa Nini wasikamatwe mateja wote msiwape unga cku tano uone kma hawatataja wanakotoa nakuludi haliyao
@
@jimboulayaمنذ 3 سنواتGram 232 wanafungwa maisha na kutaifishwa? Na vipi watoto wao? Hii hukumu ni kama kukomoa, hailingani na kosa na haijaangalia maslahi ya watoto, huyo jaji id="hidden11" class="buttons"> nina mashaka nae, wapo watu wameihujumu nchi kwa mabilioni hawakupewa adhabu kama hii. Kuna kitu nyuma ya hii kesi sio bure. ....وسعت
@
@aliaalooya3896منذ 3 سنواتJmn sibora wangechukua azo mali kuliko kifungo chamaisha 1
@
@ashuraussein7582منذ 3 سنواتJamani wapunguze ukumu akuna binadamu alio kamilika pumbavu zenuwatoto watalelewaje 2
@
@zaitunisinamenye1799منذ 3 سنواتBasi wafungwe maisha wengi tu, serkal haiwazi watoto?mwanamke aaciwe hana kosa lolote akaleye watoto
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Shamimu Mwasha na mumewe Abdul Nsembo wahukumiwa kifungo cha maisha JELA:
Inauma sana ila ndio sheria imeshaamua hivyo. 2
Nyie mnaosema wahurumiwe sababu wana watoto kwani wenyewe walikuwa hawajui kuwa wana watoto wakati wanafanya biashara hiyo ina maana mtataka id="hidden3" class="buttons"> kila mtu akikamatwa na madawa wenye watoto wahurumiwe sasa je wakihurumiwa si ndiyo watakuwa wengi sababu ya kuhurumiwa na wakiwa wengi si ndiyo taifa litazidi kupoteza vijana kwa madawa ....وسعت 4
Shamimu id="hidden5" class="buttons"> laiti ungelijua ile harusi iliyotingisha mji ingeleta yote haya hata usingeitamani masikini, nimekuonea huruma,hasa watoto. ....وسعت 3
Kuna dhambi unaweza kujikwaa ukafanya Lakini siyo za kuuza madawa ya kulevya kuuwa kuiba kuingiliana kinyume id="hidden9" class="buttons"> na maumbile
Kudhurumu
Na nyingine nyingi
Ukizifanya hizo ujue tu wewe unahatalisha maisha yako kama siyo kuyaharibu kabisa ....وسعت 2