المدة الزمنية 7:10

MZEE MPILI ALIVYOKABIDHIWA PESA ZAKE NA HAJI MANARA /MECHI YA KIGOMA TUNASHINDA

بواسطة Nyanga Online Tv
5 095 مشاهدة
0
39
تم نشره في 2021/07/07

MANARA ATIMIZA AHADI Msemaji wa klabu ya Simba SC Haji Manara ametiza ahadi yake aliyomuahidi Haji mpili (Mzee mpili ) Haji Manara alimuahidi shilingi milioni moja mzee mpili endapo Yanga itaifunga Simba siku ya tarehe 3/7 mwaka huu ambapo klabu ya Simba ilipoteza kwa Bao moja . #manara #mzeempili #yanga #simba #NguvuMoja #NguvuMoja #Simbaleo #hajimanara #morrisson #simba #simbatanzania #simba #hajimanara #NguvuMoja #Simbaleo #manaratv #sisisiowepesi #TunakupaKwaWakati

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 13