Linda chombo chako cha moto mazima na VodaBima! Katia chombo chako cha moto bima kubwa au ndogo kutoka kwa washirika wetu ukiwa na simu yako ya mkononi popote ulipo, kupitia M-Pesa App au kwa kupiga *150*00# kisha kuchagua "Huduma za kifedha" halafu kuchagua "VodaBima" na kuchagua mtoa huduma kulingana na mahitaji yako. #vodabima #lindachakolindamazima #pesanimpesa
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 0
مقاطع الفيديو ذات الصلة على VodaBima imeboreshwa Nunulia chombo chako cha moto bima KUBWA au NDOGO kupitia M-Pesa.: