المدة الزمنية 25:7

BINTI HUYU AMLILIA MTOTO WAKE ADAI ALIPOKONYWA MTOTO NA MWAJIRI WAKE/ALIKUWA AKIFANYA KAZI ZA NDANI

بواسطة Geah Habibu
72 468 مشاهدة
0
602
تم نشره في 2021/01/20

Kutoka Kimara ndipo tukio hili linatokea ambapo binti huyu amenitafuta akiwa na bibi yake ambaye ametoka Mkoani ili kuja kumsaidia binti aweze kumpata mtoto wake.Binti huyu alikuwa akifanya kazi za ndani huku akiwa na mtoto wake wa miezi 6.Binti huyo anadai bosi wake alimfukuza baada ya kutuhumiwa kuiba simu akapelekwa polisi lakini baada ya kutoka alifukuzwa na muajiri wake na mtoto wake hakumpata tena...! Fwatilia tukio hili upate kujua kisa kizima #geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 480
  • @
    @azizasalim87773 years ago Pole sana mdongo wangu pambana upate mtoto wako ndiyo muhimu achana na wanaume tafuta maisha mengine 21
  • @
    @jumanatv4173 years ago Huyo mama alikua anataka mtoto akalelewe kituo cha yatima mama abakie akimuuzia bia zake na kumuuza yeye piaa... Hapo ndo utaelewa adui wa mwanamke ni mwanamke... 🙌 10
  • @
    @roseuwambe8933 years ago Boss mjinga sana alikua anamfosi aendena wanaume kwanguvu alafu anasema alikua malaya wakati yeyendio alikuaana mfosi😪😭😭ampe mwanae 8
  • @
    @happynessmolla17813 years ago 😭😭😭jamani ameniliza sana huyu bint.ila Mungu ni mwingi wa Rehema atakuvusha katika jaribu lako. 10
  • @
    @rukiakhamsin92203 years ago Mmmh,hii dhulma ya hali ya juu,hata mwehu analea mwanawe mwenyewe😭😭jamani daa geah msaidiye Huyu bint apate mtoto wake 15
  • @
    @juliethswai42633 years ago jaman dada Gea fatilia hii isseu mpaka huyu dada ampate mwanae... Mungu atakulipa dada 62
  • @
    @evasaimon21013 years ago Uchungu wa mwana aujuae mzazi apewe mtotowake, mtoto afanani na cm wala na mamilioni ya shilingi 14
  • @
    @namsamson34433 years ago Huyu binti mzuri sana. Na kama ameanza kulala na wanaume masikini siatapata magonjwa masikini. Bado mdogo masikini . Hizi shida hizi. 4
  • @
    @namungolubala17883 years ago Boss huyo anastahili kufungwa
    Maana yeye ndiye alisababisha huyo binti anapitia hiyo kuzurura😒😒😒
    15
  • @
    @zahrasalum10893 years ago Pole kipenz maisha haya mtihani kwakweli 10
  • @
    @ayshaayshaabdulrahman61433 years ago Mungu amfanyie wepesi apate mtoto wake salama uyo mama alie mwandika kazi simtu mzuri 3
  • @
    @user-un3df1sl2h3 years ago Pole mdogo wangu, mungu nimwema utapata mtoto wako,dada gea fatilia hii mbaka mtoto apatikane 3
  • @
    @theopistermganwa45583 years ago Mungu akutie nguvu. waandishi wa habari wanatusaidia sana. Mungu wawape wepesi waandishi wa habari wote tunawapenda. Akamatwe huyo ni mwizi wa kuaminiwa. 4
  • @
    @habibaa95033 years ago Eti nilimuona mtoto wenu malaya wakat umalaya amemfundisha yeye . 16
  • @
    @arafakiloli7493 years ago Subhannahllah Allah amfanyie wepesi. apate mwanae 22
  • @
    @mawananasoro44053 years ago Kesho na kesho kutwa baba aje kudai mtoto jamani wakina mama tunapitia magumu 47
  • @
    @josphinedarani62033 years ago Masikini pole mdogo wangu usilie mwenyezi mungu atakusaidia da gear msaidie 3
  • @
    @sabinashabani1165last year Pole sana binti. Mi natamani nipate binti nikaenae kwangu mpaka aolewe na harusi yake ni isimamie mimi kama mwana familia. Ila naona tu serikali izuie watu kujifana matajili wanahela za kuwaajili mabinti mana sasa naona matukio yamezidi sana hasa hapo dar nishida sana ...
  • @
    @joharikitundu3 years ago Huo mdada mpeleke polic wamtrack na hapo alipompeleka police usiogope dada huo mdada anataka kukuingiza ktk matatizo makubwa mdada Geah jitahidi Sana akirudishe huo mdada mtoto akapimwe 1
  • @
    @theceefamily77643 years ago Jameni geah nakuomba tu umusaidie huyu dada apate mtoto wake na pia umupeleke hosipitali hili apimwe Kama ameambukizwa maradthi ndio hasije kumnyonyesha huyo mtoto.Huyo tajiri inafaa achukuliwe hatua za kisheria pamoja na mume wake@Kenya🌞🙏. ... 8
  • @
    @evalenad62563 years ago Huyu boss akapimwe ugonjwa waakili. Haki ifanyike kwa huyu bint apewe mwanae. 8
  • @
    @remiomar71543 years ago Asabambaze picha y huyo tajiri wake mtoto sio nguo mtoto anauma jamani 7
  • @
    @hanifatanzania72583 years ago Subuhanallah inalillah wainailahi rajuun 😭😭😭😭😭😭inauma jamani selikali msaidieni piamtupe mlejesho roho zetu zitulie Mungu mwema lnshallah🙏 4
  • @
    @gadilunga93073 years ago Inauma sana kwakweli mungu mkubwa apewe to mtoto wake anataka kumtoa kafali au 2
  • @
    @mussamivache49863 years ago Kweli we nimpumbavu mjinga kabisa na uyo mtt alitaka amuzee utamng'ang'aniaje mtt wa mtu inamana we unauchungu kuliko mwenye mtt mjinga sana uyo kinyago 6
  • @
    @coolwaveac76593 years ago Uchungu wa mwana aujuaye mzazi pole sana mdgo wangu tumuombe MUNGU mtoto wako apatikane 26
  • @
    @mariamubakari5993 years ago Huyo boss ni mwizi wa mtt alikuwa anashida na mtt jaman pole sana 2
  • @
    @zamdachiguru20543 years ago Pole mdogo wangu najua shida ndio imekufikisha hapo 19
  • @
    @rithakuyala99513 years ago Pole sana mdogo wangu Mungu alisimamie mtoto hapatikane, bibi unaongea pont 1
  • @
    @ashaally69933 years ago Rudisha mtoto mshenzi..unataja mambo ya mimba yako yanahusiana nini na mtoto wa mwenzio... 11
  • @
    @nikuzedansira85373 years ago Oooh sorry dada yangu pole sana. Da that women she's not good 2
  • @
    @zakiamsafiri123zakiamsafir73 years ago Uyo mama mwizi WA mtoto atafutwe akatoe maelezo police 16
  • @
    @abigaelmabuga96193 years ago Aiseee inauma sana,uchungu wa mwana aijuaye mzazi,huyu binti apewe mwanae na ikishindikana anawazazi na ndugu,huyo bosswake sio kituo cha kulea watoto. 1
  • @
    @victoriamkolwe34123 years ago Aaah daaa
    Imeniliza,,,,Atafutwe arudishe mtoto...JAMANI MTOTO ANAUMWA
    1
  • @
    @rebecasteven7093 years ago Mungu anawaona mnaowatesa watoto wa wenzenu!!! 1
  • @
    @estakapufi75823 years ago Jamani huyu mama achukuliwe hatua haiwezekani amnyanyase hivi huyu binti mtoto wa myezi 8 kweli unamuachisha ziwa ili akufanyiekazi ya bar kweli jamani hii sisawa kwakweli. 1
  • @
    @grasefesto65063 years ago Ni kumuomba tuu Mungu huyo mtoto atapatika 14
  • @
    @magiekinda96853 years ago Kuna vitu vinatia asila aiseeeeee mtoto wangu utakula petrol moja takatifu mpaka utatoa mwanangu aiseeee 4
  • @
    @aishaally27303 years ago Maelezo mengi nyoosha maneno mtt yuko wapi kuna wamama makatili humu 4
  • @
    @teddlyimo60203 years ago Dada geah fatilia mpaka upatee huyo dada apate mtoto wakeee 18
  • @
    @mwanahalimamwachili96793 years ago Poleni Hapa Haija Eleweka Muongo Na Mkweli,ila We Boss Peana Mtoto Ungeita Familia Yake Waje Wachukue Mtoto.Mbona Ukimbilie Ustawi Wa Jamii. 4
  • @
    @irenekimena26073 years ago Maisha mhh!sikia 2mtu anasimulia omba yasikukute ,!vile mwanamke unapitia mengi unatukanwa unasemwa unaonekana taila daaaa!!mungu pekee ndo ajuae! 1
  • @
    @theafricaiknow66153 years ago Kama kuna uongo uongo. Fuatilieni vizuri hili jambo 2
  • @
    @glorykarim15703 years ago Mimi ni mpumavu dada mm mpumbavu nimeona MTT wenu malaya hahahahaa uyo dada mwizi alimuiba uyo MTT labda kamuuza Mana watu wa dar awaeleweki maisha magumu wanawauzia watu wagumba mungu amsaidie jaman nimeumia Sana duuuh😭😭 5
  • @
    @chainbre2753 years ago Laki Saba zakujifungua n'a mimba Ina mwezi moja 🤔ila wewe hunahuruma kbsa maana ilikua lengo lako huyo binti ajiuuzi wewe ili upate faida kutoka kwake maana alikuja kwako n'a mtoto 5
  • @
    @sabinaonline65753 years ago Dada Geah please tunaomba umsaidie huyu bint apate mtoto wake. 1
  • @
    @zulfatdidas3693 years ago Dhambi sana binadam cye,pole mdg wang yalokufka na umr wako n tafaut kabsa
  • @
    @ashurakhamismussa95723 years ago Mimba ya mwezi mmoja ndo nini?🙄🙄 mzazi mwenyewe ndio aliekupa ruhusa kumpeleka mwanae orphanage? Wewe ndio unamjua Mungu kumtesa mtoto wa watu ivo?? 3
  • @
    @teddysisty3203 years ago Kwann wanawake tunawanyanyasa watoto wa kike jamani tunajisahau Sana tumuogope Mungu 1
  • @
    @mapenzisorotanizimbazimba87423 years ago Hii Dunia sijui kama tunaelekea wapi aiseee
  • @
    @katibatanzania30893 years ago Waizi hao dageha msaidie binti apate mtoto wake 2
  • @
    @nameno86082 years ago Wema huponza mtoto alimwachia alifikiri watamtunzia bure hata kama ni mimi nitampeleka police mwisho ni ustawi wajamii 1
  • @
    @roseuwambe80893 years ago 😭😭😭duu jaman mbona huyo mama anajiamlia mtoto sio wanduguye ashikwe huyo tapeli 2
  • @
    @sharinv88643 years ago Ooh mungu wangu jamani kwakweli watoto wetu huwa wanapitia shida tafadhali geah msaidie huyu binti apate mwanae alafu utupe mregesho utuonyeshe na huyo boss akamatwe, kwann huyu boss kamfanya hivi jamani mungu wangu huyu binti akapimwe ajulikane hali yake. ...
  • @
    @emmyyahya83583 years ago Daa kunawatu makatili Sana yani uyo mama mshenz wa tabia
  • @
    @wivinemwamini91103 years ago Mwanangu nawezamuwacha afazariunaniuwa 1
  • @
    @hamidaalhabsi85683 years ago Mmmmm m mambo jamani pole sana 💔💔💔💔💔💔💔💔💔 1
  • @
    @namirihamisi38993 years ago Fuwatilieni usikute mtoto kamnyonga kwa kuhisi mtoto wa mume wake na kuhusu mtoto hana wazazi ww ulimtowa wapi?? na huko ustawi huyo binti ndio aliejiandikisha au yy ndio kaandikisha huko ustawi. 7
  • @
    @berthamakortha83872 years ago Uyo mama ni mwizi wa mtoto. Muwe MACHOO SANA 3
  • @
    @beatricemariki75293 years ago Atoe mtoto bhana.... Mtoto anaumaa etii.... Atoe mtoto plz...kama hatoi mtoto apelekwe polisi shenzi yeye...... Anajua uchungu huyo; 1
  • @
    @minazsaid24703 years ago Mazito! Kwani binadam tumekuaje siku hizi jamani
  • @
    @awadhrajab95273 years ago Uyo Dada Ashikwe Wenda Freemasoni Uyo Anataka Kumtoa Sadaka Au Mtoto Kazaa Na Bosi Wake Serikali Itende Aki Mana Ukweli Ukatili Mkubwa Uyo 1
  • @
    @maryamabdallah31402 years ago Bibi umeongea haswaa... Mwana kulitafuta mwana kulipata...dada bosi jiandae...na uandae na haki za huyu binti 1
  • @
    @maryamdunga38963 years ago Hivi hadi leo kunawafanyakaz bado wanapitia haya mambo khaaa 1