المدة الزمنية 4:32

SABABU YA BEN POL KUBADILI DINI KUWA MUISLAM / UTATA MKUBWA KWENYE NDOA YAKE

بواسطة Wasafi Media
43 340 مشاهدة
0
577
تم نشره في 2020/10/24

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺 𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴 𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯 𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/ 𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/ 𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/ 𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻 𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻 𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ: 𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/ 𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/ 𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 367
  • @
    @khamisshaaban4599منذ 4 سنوات ALLAH AKUONGOZE UCJEUKARUDI TENA KWENYE GIZA LA DHULMA aaamin 1
  • @
    @abbasmohamed5066منذ 4 سنوات Mashaallah! Wallah umependeza.karibu uislam ndg Allah akuongoze katika dini ya haki inshaallah! 7
  • @
    @salumkassim7949منذ 4 سنوات Karibu sana ktk uislam ndugu yangu Mungu akufanyie wepec 2
  • @
    @fetychina3273منذ 4 سنوات Mungu azidi kukutia imani nakuongoze kwenye kutenda mema na kujaalie mafanikio kwa kila kitu unacho kifanyaTAQBIIIIIRI 23
  • @
    @bitumujuma5383منذ 4 سنوات MashaAllah TabarakaAllah brother krb katika dini ya haki 2
  • @
    @salummakame5086منذ 4 سنوات Allah akupe moyo wa subra na uvumilivu na uzidi kuijenga iman ya kiislamu amin 17
  • @
    @twahasaidi3819منذ 4 سنوات Mashaallah allah huzindua amtakaye karibu ujali chochote
  • @
    @simulizizetu2589منذ 4 سنوات Itakapokuja nusra ya mwenyezimungu na ushindi,na ukawaona watu wanaingia katika dini ya m/mungu makundi kwa makundi, zitakase sifa za mola wako mlezi na id="hidden1" class="buttons"> umuombe msamaha, hakika yeye ndie anayepokea toba.qur-an suratul nasri ....وسعت 13
  • @
    @fatmahamisi7369منذ 4 سنوات Maa shaa Allah akuongoze ktk subra na uvumilivu ktk hiki kipindi cha watu wanaokusema vibaya uzidishe imani ZAIDI mwamini Allah atakuonvoza utashinda yote id="hidden2" class="buttons"> ya walimwengu dini ya kweli na ya haki duniani ni uislamu. ALLAH AKIBAR ✅ ....وسعت 1
  • @
    @mwahijaismaily538منذ 4 سنوات Mashallah karibu kwenye dini ya kiislam 22
  • @
    @aishajimmy4485منذ 4 سنوات Mashaallah dini ya haki ni Islamic hongera saaaan kaka 1
  • @
    @ezekielimtunguja3646منذ 4 سنوات Ila Lusekelo,Mungu aliemtoa Kristo mwanae kwa ajili ya wanadamu anakuona,Wewe kama balozi wa ufalme,hutakiwi kupongeza uasi dhidi ya neno la Mungu maana id="hidden3" class="buttons"> hakuna dhambi kubwa kama kumkataa Kristo asiwe Bwana wako,heri ungekaa kimya kuliko kushiriki kumkana Yesu hadharani. ....وسعت 7
  • @
    @hamzampojora9284منذ 4 سنوات Maasha Ashah mungu kwa kukuonyesha njia ya pepon 1
  • @
    @mrcembo7473منذ 4 سنوات Amani kwako brother tuko pamoja sana Allah akupe taufiki kwakuweza kuitambua khaki 1
  • @
    @hajitunguuni1298منذ 4 سنوات Maashaallah UISLAMU si jina wala si kanzu nzuri siku hizi, uislamu ni kufuata yote aliyoamrisha na kuacha yote aliyokataza Allah (sw) na muhamma(s.a.w) wake pia kuamini kuwa kuna pepo na moto baada ya malipo akhera
  • @
    @hashtagdarling4738منذ 4 سنوات Masha Allah,Mungu amuongoze ndugietu kwa kujiunga katika dini ya Kiislam na aampe imani zaidi
  • @
    @firdausgreen1391منذ 4 سنوات Maa shaa Allah. Ila usijaribu kuritadi maana itakugharimu maisha ya dunia mpaka kesho na adhabu ya Allah ni kali 1
  • @
    @marhaban2012منذ 4 سنوات Welcome brother may Allah guide Alla of us !!! 12
  • @
    @ahmedbng7360منذ 4 سنوات mashaallah akuongoza ktk njia iliyonyooka inshaaallah 1
  • @
    @shaban6644منذ 4 سنوات Maash Allah, Allah Akbar., Now He is like new born., Karbu katka Uislam kaka 44
  • @
    @tuwajafar5687منذ 4 سنوات Uislam mzuri bwana. Unaraha sana. Hongera Bernham
  • @
    @mwazanmwazan766منذ 4 سنوات Mashallah mungu akupe afya njema uwe mungono wa ibada moja apoo 1
  • @
    @saidasaid1476منذ 4 سنوات Mwenyezi mungu akuzidishie inshallah kalibu sana katika imani
  • @
    @chibudyside5617منذ 4 سنوات mungu akufanyie wepesi katika safari yko 1
  • @
    @rayarawdha3753منذ 4 سنوات Alhamdullillah Allah Akuongoze Kwenye Dini Ya Haki 2
  • @
    @omarkomwa5718منذ 4 سنوات Karibu ndugiangu kwenye dini ya haki na mungu akuongoze kwanjia ilio nyooka amin
  • @
    @sulaymanmohd1563منذ 4 سنوات Allah akbar.. karib kaka na allah akujaalie imaan thaabit.. 1
  • @
    @arafataman8891منذ 4 سنوات mashaallah karibu katika dini ya haki mbele ya allah 1
  • @
    @samuraimuslim1177منذ 4 سنوات Masha ALLAH
    Asalamu Aleykum From TAJIKISTAN IRAN AFGHANISTAN
  • @
    @dullatembo8302منذ 4 سنوات Allah akubarik karbu Kwenye dini ya Hakki
  • @
    @rahmssalum3163منذ 4 سنوات Mashallah Allah akuongoze njia ya haki inshaallah
  • @
    @saidiuchebe5203منذ 4 سنوات Amepiga atua nyengine ktk maisha yake ila shida inakuwaga kwenye uvumilivu coz yatakuja mengi ktk siku za usoni kwaiyo akiweza vumilia ndo salama yake,,,,,, Allah supreme 1
  • @
    @twahasaidi3819منذ 4 سنوات From kenya nairobi kijana Allah anasema na mwenye akili atafuwata bc uwasomee aya zetu wasije wakasema ni similizi za watu wa kale wape ushahidi waelewe mm ni mzaliwa wa chemba dodoma hususa ndugu yangu ben por
  • @
    @pinkygrey3459منذ 4 سنوات Mungu ni yuleyule na imani ya mtu ndio itampeleka peponi
  • @
    @sarahabdulatif7391منذ 4 سنوات mungu wenu alismpa utume muhamad kamtuwa kwawatu mazezeta kwaiyo ukijiona bado unaganda marehemu mudi wew ni zezeta
  • @
    @thomasvenance5186منذ 4 سنوات Hizo project wanaziandaaa ukute nyimbo anaiandaaa 1
  • @
    @luqmanmohamedy3860منذ 4 سنوات Iwapo ndoa bado ipo ndoa hio hukubalika kuendelea nayo according to uislamu
  • @
    @esterkimath1214منذ 4 سنوات Imani yako ndio itakayo kuponya Na kubadili dini sio suruhisho
  • @
    @hamadinyawe1816منذ 4 سنوات Sababu hakuna mahali kwa Bible jina ukiristo
  • @
    @peacemakune911منذ 4 سنوات Ulikua ndo namba 1 kwangu bongo kwa wasanii WA kiume, now siupendi tena.
  • @
    @samakisamaki3226منذ 4 سنوات anatafuta sababu ya kuitema ndoa yake. subirini mtashuhudia
  • @
    @mrsnam6897منذ 4 سنوات Nilikua namuona mbali sana Ben pol kiimani, alifanania kua Muslim muda mrefu sana 2
  • @
    @isaachayes9783منذ 4 سنوات DUH! KAONA HUKO NDO NJIA SAHIHI HAINA TABU TWAMTAKIA KILA LA KHERI NA IMANI YAKE MPYA,
  • @
    @aishawakat2143منذ 4 سنوات Karibu katka din ya kiislam, ukumbuke umeshabatilisha ndoa yako na hurusiwi kushiriki naye tendo hadi na yy abadili dini
  • @
    @emmadora7848منذ 4 سنوات Shida ni moja tu mnahamia kwenye Dini Fulani sio kwamba mmeipenda au mmeielewa ila huwa kuna vitu mnavifuata kama sio wanawake basi hii ni hatari 1
  • @
    @yussufabdul-rahman5601منذ 4 سنوات Nyie ata akili hamna, ameamua ivo kwakua ameshajua nn haki nn batili 3
  • @
    @rahjah5882منذ 4 سنوات Jina si tatizo kabisa anaweza kuendelea kutumia Majima yake ;
  • @
    @alriyamy613منذ 4 سنوات Dini cio ,jina lolote halina ttzo ktk uislam muhim uchaji wko(the way of conducting yr ibaadat). 3
  • @
    @ellbenzema5358منذ 4 سنوات Jina la kisanii hawez kubadili kwakua ben ipo kwa Bernard na benham na Paul ni lababa ake kwaiyo hapo hakuna utata
  • @
    @teddygabriel5662منذ 4 سنوات Kila kukicha nafuu ya Jana
    Huko ni kukosa msimamo
    3
  • @
    @brytonybrytonyblowsmlowe309منذ 4 سنوات Kama nimshusiano yamemubadirisha mmmmh!
  • @
    @johnmatiko2596منذ 4 سنوات Jesus Christ is coming soon
    Mwenye kujitakasa azidi kujitakasa na mwenye kujichafua na azidi kujichafua huko nje wapo mbwa, wachawi,makafiri na waabudu masanamu
    8
  • @
    @fuadabdalla7097منذ 4 سنوات gombana nini mbona hauko positive wewe je kama na mke pia ame slimu wajuaje
  • @
    @godsonndamgoba1934منذ 4 سنوات Acheni wizi,c mmeandika sababu mbona hamkutaja.Waandishi uchwala
  • @
    @shehdon847منذ 4 سنوات BONYEZA HAPA
    https://youtu.be/WLA-1Gq2y-A
  • @
    @saimonsanga4510منذ 4 سنوات Bernad Morrison,bernad membe,benpaul awa wakina beenwana nyota ya kuhama xanaa 3
  • @
    @yussufabdul-rahman5601منذ 4 سنوات Nyie wasafi mikafiri tu eti utarajie aimbe doh, mntka apotoke km boss wenu mie namuombea dua acjingize tena ktk mzki mna mzki ni sauti ya shetani ktk uwislamu tunafahmu ivo
  • @
    @eddonyihande6365منذ 4 سنوات Nazani ni kiki tu hiyo, new hit coming soon
  • @
    @abdunewton6376منذ 4 سنوات Kalib baba sisi 2natok ww unaingia akik kilam2 ana chaguo lake 3
  • @
    @nicoemmanuel9116منذ 4 سنوات Mwachen atest mitambo na huko yakimshinda atarudi aliko toka tuu 6
  • @
    @darposttv2647منذ 3 سنوات Huo ni mwanzo wa kupangawa wewe ni sawa na chuchu tu
  • @
    @gordiansoko9113منذ 4 سنوات Usajili tata kama wa "Bernard Morrison" 3
  • @
    @eliofootz6519منذ 4 سنوات Kama mtu aliweza kupakwa mafuta akiwa uchi kwanini asiweze kubadili dini yake?? 4
  • @
    @martinfrancis9808منذ 4 سنوات KASHAFAIL. MAPENZI YANAMCHANGANYA ANAACHA KUFANYA KAZI. KAPATA DEMU MWENYE HELA ANAPENDA KULELEWA HAKUNA CHA ZAIDI 8
  • @
    @mikarospius8084منذ 4 سنوات Kama umebadrisha dini kwa sababu ya mwanamke umepotea sana 1
  • @
    @emmanuelyraphaely3343منذ 4 سنوات Iyo kiki soon anaachia nyimbo Yan wasanii wabongo kwa kiki mpo vzr Sana 2
  • @
    @charleskaozya9924منذ 4 سنوات MUNGU wetu ni mmoja tu ila jamaa aache kupendaa vitongaa stress zitamuuaa
  • @
    @dominicanton2064منذ 4 سنوات Mwana ume unakuaje dhaifu ivo unabadili din kisa mwana mke duuu nn huna ? Haya kesho mme achana una badili tena yan ingekua kwa mapenz yako aaasawa dem eti tuu ana pesa broo apo hauja fikil aisee 1
  • @
    @josephvenus3259منذ 4 سنوات Hatuta shangaa sana ila ajue Jesus Christ is a King! 5
  • @
    @kareemalamoody6345منذ 4 سنوات Wasafi ni fake kuamini wachawi ni washirikina
  • @
    @ezekielimtunguja3646منذ 4 سنوات Ben ni kondoo aliepotea,na kaamua kutokomea zaidi ili asipatikane kabisa!!! Mungu wa mbinguni akusaidie Ben uione njia ya wokovu wa roho yako na sio dini.
  • @
    @sarahabdulatif7391منذ 4 سنوات Mimi huwa nacheka sana mtu.akibadili din nakuwa.muisilamu mana siajabu hata najini nao kila siku wanasilimu nakuwa waisilamu jini asilimu namwanadamu umakili id="hidden12" class="buttons"> zako nawe unakuwa sawa najini unasilimu halafu waisilamu wote nindugu kwahiyo unakuwa nindugu pamoja namajini Njooni kwa Yesu ndio mana waisilamu akila hawana baada kuja kwa Yesu alie hai wakaokolewa wanamfuata muhamad alie kufa yaan akili za nasar ukimuona mtu anasilimu nijini naukimuona mtu nimuisilamu nijini mana ndio dini yao ndio mana ukisoma kuruani mungu alimpa utume muhamad kamtuma kwawasiojuwa kusoma nakuandika lakini tunashangaa watu wanashahada za vyuo lakin mtume wao nimuhamad sababu shetani amewateka fikra zao ....وسعت
  • @
    @ernestmbwana6282منذ 4 سنوات If he looks for arab girl trust me hataoa muarabu they are racist kichizi
  • @
    @bulugubujashi6378منذ 4 سنوات Kwa mgogo kubadili dini nikawaida sana.
  • @
    @rubensamson8681منذ 4 سنوات Kila mtu na maamuzi yake japo kwa wasanii huwa miyeyusho sana hawachelewagi kurudi waliko toka 2
  • @
    @edmackmbilinyi8651منذ 4 سنوات Yan Ben pol kutoka Ukristo kumuamin Jesus kama YESU kristo na kuimba Nyimbo nzur kama Ebenezer lkn bado huamni 3
  • @
    @maalickbintarish6658منذ 4 سنوات Na huwo mzuzu umeendana na dini ulioifuata 1
  • @
    @michaelisrael4114منذ 4 سنوات Tamaa yake ya kutaka kuoa mke zaidi ya mmoja
  • @
    @guccijackson3055منذ 4 سنوات Ata Bernard Morrison ali isaliti Yanga awa akina Bernard wana pepo la usaliti
  • @
    @juliusakida6272منذ 4 سنوات KUBADILI DINI SIO SHIDA,SHIDA AMEBADILI KWA KUFUATA DINI YA KWELI KWA JINSI ANAVYO AMINI KIIMANI AU KAMA AMEBADILI KWA KIKI AU MWANAMKE HAKUNA DINI HAPO,? 2
  • @
    @victoramani4913منذ 4 سنوات Aaaaa watu w majina ya Benard c o w kuamn jmaaa anazngua tu mse.
  • @
    @djmatia2313منذ 4 سنوات Kumamae zenu.kichwa hakiendan na habar.msenge ww c ungentafuta kwanza .matako we bando umeninunulia ww matako
  • @
    @rehemaabinelynyagawa2878منذ 4 سنوات Kila mmoja ataubeba mzigo wake mwenyewe sioni cha ajabu hapo kubalisha dini siyo tiketi ya kukufikisha Mbinguni
  • @
    @furahajonas7425منذ 4 سنوات Hakuna anaejuwa dini yenje haki sote tupondani ya pazya jeusi atakapo lifungua itajulikana
  • @
    @amulikemwaweza9288منذ 4 سنوات Hahahaaaa!hawa Bern hamna kitu naanza na Bernard Morrison nakuja Bernard Paul na malizia Bernard Membe na wewe endelea mwenzangu ujumbe ukipata mtoto usimwite id="hidden14" class="buttons"> jina Bern hawanaga misimamo ata Mr Bern yule mchekesha wa nje hamna kitu! ....وسعت
  • @
    @marboycmg2542منذ 4 سنوات mashallah kaka mkubwa karibu kwenye dini yenye msimamo 1