Please subscribe now on Our YouTube channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time.
#middlesimba
#WeAreEverywhere
#rayvanny
#harmonize
@sayianmadara7286منذ 4 سنواتHELL TO THE YES!❤️ I’m Happy for you RAYVANNY 1
@
@neliusplatnumz3554منذ 4 سنواتHatimae sasa wcb inabaki kama wcb waongonza kila kona wcb for life baby fire 28
@
@officialmrtop1018منذ 4 سنواتRAYVANNY mkali now ana 1.84M akiwa ame Appload 506 Videos! Harmonize ana 1,83M akiwa ame Appload 665 Videos ! Vanny Kiboko 12
@
@aldenyfude1738منذ 4 سنواتRayvanny ni msanii mkubwa lakin nashangaa kwa nn huwa wanamtaja alikiba wakat anaanza diamond,harmonize,and then rayvanny 24
@
@denisksylivester7846منذ 4 سنواتRayvanny aongelew sana ila kwenye platform na mauzo ya mzki anafanya vzr zaid kulko harmonize.,Ila nahis konde boy anajua kutengeza kiki za kuongelewa kuliko Vanny boy 26
@
@johnsilima1629منذ 4 سنواتNi noouma na hata list ya wasanii wenye viewz wengi kwa mwezi huu lazima rayvany amzidi Harmonize 14
@
@juniorcx0114منذ 4 سنواتVivav boy Namkubali Sana Ntamsapot mpaka mwisho Tuungane tumsapot had amzid mbal Huyo mmakonde 1
@
@almasially6509منذ 4 سنواتAssume rayvanny nayeye angekuwa anatoa back to back kama huyo mla panya INGEKUWAJE???!?! 16
@
@hassan0256منذ 4 سنواتMiddle wewe Unaangalia YouTube tu lakini huko Spotify Ray Van anayo 430k Monthly listeners wakati konde anayo 78k so unaweza kuona kua Kimziki husus id="hidden2" class="buttons">an kwenye hizi platforms Rayvanny Ni mkubwa kuliko konde ila konde ni star tu but musically niwakawaida Sana. ....وسعت24
@rashidnasoro1065منذ 4 سنواتNa Ndio Msanii wa Kwnza East Africa ndio pekee mwnye Tuzo ya BET 8
@
@sinner6808منذ 4 سنواتMe nataka atoke wcb ndio washindane.but kama bado yuko wcb no need to compare them.ana walk na diamond shadow 5
@
@Ryoof-qo7ifمنذ 4 سنواتIla watanzaniya mwapenda sana kugombanisha sana hawa wasani wenu yani kuwafugiya chuki moyoni tena nyinyi watangazaji ndo mwapenda kukusha hizo mambo
@
@speriasmohamed5604منذ 4 سنواتCha kwanza harmonize hana content za kumshinda ray cha pili middle mwisho wa mwaka tunaombaa n kina nan wametowa kaz nying zaid mwaka huu cha pili daah diamond mwaka huu katoaa ngomaa moja tu daah 5
@
@jeffs9017منذ 4 سنواتLike yangu wa kwanza acheni zenu Ray mbayaaaa 14
@tariqdasulley6759منذ 4 سنواتBro middle Simba eeh! Fanya kuangalia na kwenye Platforms zingine uone jinsi gani Rayvanny anampita kwa kiasi gani Harmonize. Harmonize msanii mzuri ila id="hidden5" class="buttons"> kwa Rayvanny bado Sana lakini nashangaa hata uongeagi kuhusu Vanny kumpita Harmo ....وسعت11
@
@israelmsemwa7867منذ 4 سنواتMiddle simba nakukubali nlikua nasubiri kama hujaonaaa
@
@kaburaakbar4838منذ 4 سنواتChui vanny boy uyo korosho niwa kushindana na lav lava tu 7
@
@richlymoمنذ 4 سنواتNgoja harmonaize achieee ngomaa mojaa anapitwaa kama upepo wakisuli suli tupo bize na ccm kwanzaa 1
@
@ezapesambili2130منذ 4 سنواتVvany boy kwakuwa kampita bas hatawoza kushushwa tena na harmonz 1
@
@wilsonkampama5436منذ 4 سنواتMinilijua tyuu ila nkasema acha vitendo viongee haya sasa 24
@
@orestehavyarimana5806منذ 4 سنواتKumpita subscribe sio tatizo Mbn pako wanasi wakubwa tu Duniani na hawaba subscribes wengi hilo ni kawaïda Konde boy jeshiiiiiiii forever
@
@laurenkalonga2286منذ 4 سنواتNdo vanny boy wcb huo harmonz arijitoa kisa ajishindanisha na mond ila hato pata nafasi hio hongera sana vanny boy tuna wahidi tupo nyuma yenu
@
@juniorcx0114منذ 4 سنواتMmakonde hajui sema mpenda kiki tu nimtu anae penda awe anaongelewa sana kwenye mitandao tu kiki Ukoo wa hamorapa Ray vanny kwa kuimba fund sema tu hapendi kiki
@
@eddyboycharming2474منذ 4 سنواتNikona swali ,kwani kuwa na idadi ya subscribers wengine ndio inafanya msanii kuwa mkubwa ? 2
@
@bravo3847منذ 4 سنواتRay vanny msani mkali sana kwa ubali ukimlinganisha na harmonise. Sijui kwa nini anachukuliwa poa Tu? 7
@
@enoughvove1513منذ 4 سنواتMan nguvu za harmo siza ry tefautisha kulelewa na kuwa boss wa Gengar mziki mzuri ni mzuri tu ata iweje kesho nipa zuri kuliko leo so acha kujizalilisha
@
@christianfelix2490منذ 4 سنواتDah et tumuache diamond ashindane mwenyewe
@traffixfahm3368منذ 4 سنواتMiddle simba mbona hautuambiii na kutupasha kuwa simba diamond platnumz kamnunulia ZARI the boss lady Bentely G Continental bana eeee Bonge la Ndingaa Middle simba 1
@
@nasriashel5717منذ 4 سنواتharmonize mchumba yule bado mbosso atamzidi nayeye 4
@
@yahayaplatnaumz7197منذ 4 سنواتSisi ndy tm wasafi hamna kama sisi tutakuwa juu kila siku itwayo leo
@
@abunaaally8498منذ 4 سنواتHarmonai kalala San ndoma ya maboko ndoimempa 1
@
@stivumgao105منذ 4 سنواتTusha kuzoea ww una maajabu kazi ya kuponda harmonize 1
@
@johnsilima1629منذ 4 سنواتMiddle tunaomba uanzishe battle la rayvany na konde sio kwa diamond maana rayvany anamzidi vingi harmonize maana hata tuzo anamzid
@
@wasafiwasafi734منذ 4 سنواتKama unakubali chui pig like apo chini 2
@
@afterfull-time1348منذ 4 سنواتRivanny ni bora kwa kila kitu kwa harmo sema tu media zinalazmisha kumkuza ila wajanja tunajua kuna weengi wa kutajwa kabla ya harmo yy aendelee kutumia id="hidden10" class="buttons"> mgongo wa babaake aendelee kutajwa na vimedia,ila tusisahau wote hao ni kwajil ya mond.. ....وسعت
@
@dominikishilali194منذ 4 سنواتUna jua uyo kwa kua Yuko na smba ila aoige peke yakao
@vitusemmanuel9380منذ 4 سنواتHuyo vanny anatembelea nyota ya simba kama anaweza atoe nyimbo pekeake 1
@
@mussaabobakar7537منذ 4 سنواتLkn konde boy yeye pesa yote inaigia kwake uyo mwengine yeye anasubur mgao mjue sijui apate babu tale salma mkumbwa fela ofs ibak pesa ndoaje kupata yeye lkn konde pesa yote inaigia kwake moja kwa moja
@
@sitofosiclassic4123منذ 4 سنواتMiddle simba naomba ufikishe hii kipaji Wasafi kutoka kenya
@
@abeltuyisenge4794منذ 4 سنواتStop that middle how many months harmo has been with more subscribers than rayvan. Just wait to see how long he can take number 2 on subscribers .yeeebaba
@
@danielkiroka6331منذ 4 سنواتUnajua nyie umunapotesa mda konde boy yuko kama yeye vanny boy yupo chin ya wcb nan mkal kama yeye mkal bac atoke wcb alafu washindane na jeshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii id="hidden14" class="buttons"> alafu ndio tuone konde ndio kwanz anamia 4 kwenye game lakin anawatemesha supu nyambafu kama yeye kidume atoke ajitegeme tunampa miwez 3 tu ....وسعت
@
@ismailmahamudu8026منذ 4 سنواتUpuuzi tu,, Wizkid(star boy) ana 1.23M inamaana Vany boy ni msanii mkubwa kuliko Wizkid?
@
@lamecksaimon6494منذ 4 سنواتSawa kamzidi ndio, Je rayvany anapesa kuliko harmonize!!! Harmonize yuko juuu ya rayvany hata yeye analijua ilo.
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Hatimae RAYVANNY ampita HARMONIZE idadi ya subscribers,anashika namba 2 baada ya DIAMOND,tazama hapa:
Ntamsapot mpaka mwisho
Tuungane tumsapot had amzid mbal Huyo mmakonde 1
Mbn pako wanasi wakubwa tu Duniani na hawaba subscribes wengi hilo ni kawaïda
Konde boy jeshiiiiiiii forever
Ray vanny kwa kuimba fund sema tu hapendi kiki
Wizkid(star boy) ana 1.23M inamaana Vany boy ni msanii mkubwa kuliko Wizkid?