المدة الزمنية 5:11

Ajinyonga akiacha ujumbe mkewe si mwaminifu, mshirikina..

بواسطة Salumy
151 مشاهدة
0
3
تم نشره في 2020/12/11

Samweli Mbingilwa (54) almaarufu kama Kamanda amejinyonga hadi kufa akiacha ujumbe kuwa ‘mke wangu si mwaminifu katika ndoa na ananifanyia mambo ya kishirikina.’ Mwili wa Mbingilwa aliyekuwa mkazi wa Tambukareli mjini Mpanda ulikutwa kwenye kiti huku kamba ya chandarua aliyojifunga juu na kujining’iniza ikiwa kimekatika. usisahau kusubscribe kukoment na kushea

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0