المدة الزمنية 11:26

KAULI YA MTUME MWAMPOSA KWA WATANZANIA.

40 000 مشاهدة
0
668
تم نشره في 2021/03/18

Boniface Mwamposa (Bulldozer) ameongea na watanzania kufuatia kifo cha Mhe. Dr. John Pombe Magufuli. #ariseandshinetanzania #2021mwakawaimani #mwamposalive

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 190
  • @
    @vasudepika4521منذ 3 سنوات All in all God is in control. Let God stand for us tanzanians 1
  • @
    @rosemarytillya924منذ 3 سنوات Tuombe Mungu atupe faraja , utulivu, Amani Upendo kushikamana Adui asipate nafasi Kwa Jina la Yesu Apumzike kwa Amani 7
  • @
    @nuwairapatrick8056منذ 3 سنوات Barikiwa sana mtumishi mwenyez Mungu akupe afya na maisha marefu najua ni kias gan unaumia kwa jinsi mlivokuwa ni pgo kubwa sana kwetu pumzika kwa aman baba 5
  • @
    @capitalism2128منذ 3 سنوات It's so sad for not only Tz but the whole of but there is a reason why is left us it's because he had done his work on the world and God is taken him to use him as his angel, Magufuri was a God given person, he is gone when we still needed him here. RIP Dr Magufuri ....وسعت 1
  • @
    @mpockalberto7841منذ 3 سنوات Ameen baba,tunaamini mkono wa MUNGU uko nasi 7
  • @
    @kelvinfestoمنذ 3 سنوات Amen mungu ni mungu tunamwamini mungu katika hiki kipind kigumu 3
  • @
    @devotharobertkayombo6660منذ 3 سنوات Mungu akubariki kwa maneno mazuri baba na mtumishi wa mungu
  • @
    @juliethcosmas1075منذ 3 سنوات Mungu wetu wa mbingun baba wa rehema tunaomba umpokee mikononi mwako mtoto wako na umpumzishe mahali salama Amen 3
  • @
    @greisontovagoze2933منذ 3 سنوات Hatuna lakusema zaid nikuendlea kumuombea Rais wetu mungu amupkee hukombingn kwaupendo zaid amen 2
  • @
    @suzanamabula2099منذ 3 سنوات Asante mtumishi wa Mungu kwa ujumbe wako mzuri 2
  • @
    @miriamnyanda8806منذ 3 سنوات Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu maneno yako yametutia moyo sana kwan kipindi hiki kwetu ni kigumu sana kwa kweli 1
  • @
    @richardjohn4058منذ 3 سنوات Mwenyezi Mungu atupe uvumilivu kwa kipindi iki kigumu na atupe ujasiri na uvumilivu.lala salama Baba mwendo umemaliza baba Naamin umamaliza mwendo wako salama baba 2
  • @
    @marthamlwafu729منذ 3 سنوات Asante baba kwa kututia moyo, Mungu wetu ni mwaminifu atatutetea 2
  • @
    @mwajumakitano842منذ 3 سنوات Amina,Amina ewe Mungu Baba mpokee mwanao kwa amani,
    Naiombea family ndugu jamaa na marafiki kushikamana kuwa kitu kimoja wawe na uwezo na faraja id="hidden4" class="buttons"> hasa kwa kipindi hiki kigumu,pole sana Tanzania,pole law watanzania wote.
    Nipigo kubwa sana,Mungu tubarikie Watanzania.
    ....وسعت 1
  • @
    @epifaniamilinga2848منذ 3 سنوات Asante mtumishi, kwa kututia nguvu,pia tunamshukuru mungu,ameacha msingi imara.
  • @
    @neyreen566منذ 3 سنوات Ee Mungu mwingi wa rehema mpokee mja wako mpumzishe kwa amani mbele yako nyuma yetu 11
  • @
    @magrethndambo7684منذ 3 سنوات Amen mtume mungu akubariki asante kwa kutupa maneno yenye nguvu
  • @
    @atanito1327منذ 3 سنوات Mtume nisaidie mtihani nilionao leo kwa jina la yesu amen
  • @
    @ericakimande1589منذ 3 سنوات Mungu Amuweke pahala pema peponi apumzike kwa Amani
  • @
    @cosmasnape2702منذ 3 سنوات mungu amlaze pema peponi baba etu apumzike salama Amina 2
  • @
    @marymary8313منذ 3 سنوات Mimi ni mkenya pole sana watanzania tulikua tunampenda maghufuli kwa kasi yake nzuri lakini mungu amempenda kutuliko , RIP mzee na sisi tuko nyuma yako id="hidden5" class="buttons"> ,kila mtu ako na siku yake ,pole sana Tanzania mungu awapee president kama maghufuli kwa jina la yesu ....وسعت 1
  • @
    @nyambogemwita5823منذ 3 سنوات Hakika MUNGU ni MUNGU,tusipokubali tutamkosea MUNGU 10
  • @
    @irenealphonse2734منذ 3 سنوات Amen mtumishi tuko pamoja alikua baba muzuri na Sisi wa congomani tuli mpenda sana basi mungu ami fariji kweli 1
  • @
    @hplatnumz5690منذ 3 سنوات Amen mungu akulaze pema peponi mueshimiwa
  • @
    @makenemakene417منذ 3 سنوات Tumeumia Sana walitakiwa kutwambia tumuombee Mungu amponye 2
  • @
    @kellyngogo3319منذ 3 سنوات Kweli MTUME Mioyo yetu haikuwa tayari kupokea hili. Asante MTUME KWELI TUKUBALI NI KAZI YA MUNGU 7
  • @
    @ariceandshinelivearse5359منذ 3 سنوات Mungu naomba bariki Tanzania yete mlezi wetu mwamposa Mungu akubariki 5
  • @
    @reginarichard2654منذ 3 سنوات Mungu ailaze roho ya Rais wetu mahala pema peponi na damu ya Yesu imfunike
  • @
    @getrudajacob637منذ 3 سنوات Mungu ametoa na mungu ametwaaa jina la bwana lihimidiwe
  • @
    @labnalast7551منذ 3 سنوات Amina ,mwenyezi mungu amwangazie mamwanga wa milele daima 3
  • @
    @elizabethmaiko9039منذ 3 سنوات nuru moamed tumuombe mungu Atufaliji katika kipindiiki kigumu
  • @
    @omegazinthalezi9123منذ 3 سنوات Pumzika kwa aman rais wetu mpendwa
    JOHN POMBE MAGUFULI
    6
  • @
    @maryaidan7745منذ 3 سنوات Mungu atutie nguvu watanzania tuwe wamoja tuzidishe maombi tumpate Alie Kama yeye jamn 1
  • @
    @veronicamokiwa1254منذ 3 سنوات Hatuna la kufanya tunapaswa kusema Mungu asante 1
  • @
    @roseflowerkyara8551منذ 3 سنوات Amen doctor mtume kwa kutufariji watanzania
  • @
    @alphonsinesingirankabo6274منذ 3 سنوات Baba Mukufuli kilakitu alifanya alitumikia Mungu pumuzika kwa furaha baba kifo chako kilishitula duniya nzima 2
  • @
    @jamilaezekiel6174منذ 3 سنوات Polen sana mungu wa mbinguni awainue ktk kipindi hiki kigumu
  • @
    @arthurmwabulambo1201منذ 3 سنوات Amina mtumishi. Umenena vyema juu ya mtumishi wa Mungu raisi Dr John Joseph Magufuri. Kwa kazi kubwa na nzuri kwa taifa hili na mengine aliyofanya NEEMA id="hidden6" class="buttons"> ya MUNGU imfunike huko alikoenda. Na Mungu aturehemu Watanzania wote tuishie ndoto na maono yake makubwa kwa taifa hili. ....وسعت 3
  • @
    @deborahelias3931منذ 3 سنوات Eeeh mung baba nakuomba San cloudy dugu awe wang daima na milele ktk Jina la yesu kristo Amen
  • @
    @olivaluvanda4524منذ 3 سنوات Amina mtumishi apumzike kwa Amani mbele yetu nyuma yake
  • @
    @deborahelias3931منذ 3 سنوات Nimepokea uponyaji ktk Jina la yesu kristo Amen
  • @
    @samkalinatours6540منذ 3 سنوات Pumzika kwa amani Rais wetu tutakukumbuka daima. 1
  • @
    @barakamakori3475منذ 3 سنوات Mungu iraze roho ya rais magufuri mahari pema ameninasikitika sana nimeumia sana
  • @
    @janethnkembo5808منذ 3 سنوات Amina mtume.kweli tumehuzunika sana.tumeumia kweli kweli. 1
  • @
    @nasraalfan6397منذ 3 سنوات Ahsante mtume ,mungu aturehemu kwa kipindi hiki kigumu 2
  • @
    @deborahelias3931منذ 3 سنوات Eeeh mung baba timiza haja ya moyo wang nimpte nimpndae cloudy dugu ktk Jina la yesu kristo Amen
  • @
    @gloriamaharindo31منذ 3 سنوات Ni kweli,acha Mungu aitwe Mungu,poleni watanzania wenzangu,ndani na nje ya nchi.
  • @
    @lucasmogoile7097منذ 3 سنوات Siku zetu ni ziko kwake Mungu aliye mkuu
  • @
    @agripinaligelele9367منذ 3 سنوات Kweli kabisa Mungu ndie mpangaji wa yote tumwachie mungu