المدة الزمنية 2:4

WENZAO WALIAMBIWA WANA UVIKO/WAKACHEZA NANE UGENINI WAKAITOA BURUNDI/WACHEZAJI HAWA WAWEKA REKODI

بواسطة Dar24 Media
744 مشاهدة
0
4
تم نشره في 2021/12/19

Mwenyekiti wa bodi ya ligi, Steven Mguto ambaye ni mgeni rasmi kwenye mkutano mkuu wa chama cha soka mkoa wa Dar es salaam atoa neno kuhusu Tanzanite kucheza pungufu na kupata matokeo chanya ugenini nchini Burundi #Drfa #Tff #Tanzanite

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1