المدة الزمنية 7:46

Matukio MATANO Yaliyoishangaza DUNIA

بواسطة Global TV Online
26 915 مشاهدة
0
233
تم نشره في 2019/06/23

Matukio MATANO Yaliyoishangaza DUNIA! KUNA mambo mengi yamekuwa yakitokea duniani, yanashangaza na wakati mwingine mtu kujiuliza kwamba inawezekanaje jambo hilo kutokea? Tangu dunia ilipoumbwa, kuna mambo mengi yalitokea kuanzia karne ya 18 mpaka karne hii ya 21. Yapo yaliyotokea kwa makusudi lakini pia yapo yaliyotokea kwa bahati mbaya kabisa ambayo kwa kifupi tungesema Mungu alitaka hayo yatokee ili iwe fundisho kwa watu wanaoshuhudia au akusikia. Haya hapa ni baadhi ya mambo matukio matano ambayo yaliishangaza dunia. Kulipuliwa kwa Majengo ya Biashara (WTC) jijini New York Ilikuwa asubuhi ya tarehe 11/09/2001. Wafanyakazi walikuwa ndani ya majengo mawili ya biashara (WTC) wakiendelea na kazi zao kama kawaida. Ghafla waliiona ndege ya kwanza ikienda kwa kasi katika jengo leo. #MATUKIO5YALIYOSHANGAZA /playlist?list ... /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 14