المدة الزمنية 4:15

Tazama Maandalizi ya Kuusafirisha mwili wa MAMA yake LULU DIVA kuelekea TANGA

بواسطة Simulizi Na Sauti
43 971 مشاهدة
0
385
تم نشره في 2021/12/20

#luludiva

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 44
  • @
    @josphinedarani6203منذ 3 سنوات Masikini lulu mwenyezi mungu akufariji na mwenyezi mungu ailaze roho ya mama mahala pema peponi 9
  • @
    @janemapoz6360منذ 3 سنوات Pole lulu umewajua watu wako waonaokujali big up mwijaku,mama wema, wema ns fidw 2
  • @
    @halimandinde5881منذ 3 سنوات Innalilah wainailah rajiun poleni sana mungu yupo pamoja nanyi 7
  • @
    @saumusalimuhassan2499منذ 3 سنوات Innalilah wainailah rajiun, poleni sana wafiwa, Pole sana Lulu 9
  • @
    @anjelinakasembe845منذ 3 سنوات Mungu hasafirishe kwaamani na Mama yetu akapumzishwe kwa Amani mahali pema peponi jikaze sana Lulu 4
  • @
    @fatmasaid7093منذ 3 سنوات Innalillah wainalah rajiun Allah ampe kauli thabiti nasi tulo baki Allah atujalie mwisho mwema ameen 5
  • @
    @fredrickmatiku7783منذ 3 سنوات Pole sana Lulu diva kwa msiba wa mama yake mpendwa Mungu ampe nguvu na uvumiilvu wakati huu wake mgumu roho ya marehemu ipumzike mahali pema peponi Amina 1
  • @
    @jamilahrashed2642منذ 3 سنوات Innalillah wainnalillahi rajiuuun mbele yake nyuma yetu 8
  • @
    @aminaabdallah3644منذ 3 سنوات Innal lillah waina illah rajiun Mungu awape subira Ameen 5
  • @
    @hejopantumsifusimon21منذ 3 سنوات mmevaa kwaheshima ad rah mung awatangulie pole lulu 1
  • @
    @jorgettemwajuma5428منذ 3 سنوات Pole sana mfiwa kazi ya mungu haina makosa 1
  • @
    @sheriibrahim6753منذ 3 سنوات Inallilah wainaillah rajiun. Pole sana mtanga mwenzangu kuondokewa na mama ako 1
  • @
    @mwanahamis5487منذ 3 سنوات Innalilah wainailahi rajiuun poleeni saaaan lulu 1
  • @
    @jumaathman5252منذ 3 سنوات INNA LILLAHI WAINA ILEHI RAJIUN
    HAKIKA SISI NI WA ALLAH NA KWAKE YEYE TUTAREJEA
    pole sana Dada yangu Diva Allah akupe subra wakati huu id="hidden2" class="buttons"> wa huzuni, Allah amlaze pema peponi mama yetu awarehemu na maiti zetu walio tangulia katika dhimaa yake na sisi tuliyo hai atuhifadhi,
    Tuko pamoja Dada yangu Allah akupe moyo wa ujasiri licha ya huzuni uliyo nayo uweze kumzika mama yako na kilicho baki ni kumuombea maghfira
    Nakupenda sana dadangu Diva
    ....وسعت 4
  • @
    @maryndullu1288منذ 3 سنوات Namuona mama wema,wema mwenyewe dadaake wema Nuru sepetu jaman msiba wameubeba Kama wao 1
  • @
    @muzafarsharif9465منذ 3 سنوات wameenda kuuza Sura Tu wakijua media ztakuwa hapo 2
  • @
    @peteryukunda9239منذ 3 سنوات Wema nilivyomuonaga muda mrefu hadi sasa ana roho ya huruma mno mno,anajua kujali.Anavaaga uchungu wa mtu km wake jamani,Nakupenda sn Mpendwa.
  • @
    @nasramohamed3353منذ 3 سنوات Innalillahi wainna ilaihi rajighuun yarabby tujaalie mwisho mwema hakika mauti yanauma sana.
  • @
    @roudhamahmoud763منذ 3 سنوات Mnapokuwa misibani mwa watu heshimuni sio mnafanya sehem za kucheka ovyo na kukumbatiana 2
  • @
    @dottohamisi9844منذ 3 سنوات Kuna watu wanacheka kama hawapo msibani 3
  • @
    @fainajaffary4070منذ 3 سنوات Watu minywele waz kama wanaenda harusini yan misiba ya sasa hivi watu hawana khofu ya Mungu kabisa
  • @
    @cheiknamouna2058منذ 3 سنوات Utadhani harusi mnakenyua nini sasa kinawafurahisha wengine mna mapengo kama Steve hapo
  • @
    @aickatesha5829منذ 3 سنوات Yani wabongo mnatia aibu mnakua Kama mnaomba matatizo ya wnzenu ili mkauze sura 1
  • @
    @Bayothomusicمنذ 3 سنوات Ukiwa katika shida angalia hii
  • منذ 3 سنوات ‍♂️‍♂️diamond platinumz amchana kisomi alikiba baada ya kujitapa kusign Rich mavoko kwenye lebo yake ya kings music

    >
    .
  • @
    @jumaathman5252منذ 3 سنوات INNA LILLAHI WAINA ILEHI RAJIUN
    HAKIKA SISI NI WA ALLAH NA KWAKE YEYE TUTAREJEA
    pole sana Dada yangu Diva Allah akupe subra wakati huu id="hidden5" class="buttons"> wa huzuni, Allah amlaze pema peponi mama yetu awarehemu na maiti zetu walio tangulia katika dhimaa yake na sisi tuliyo hai atuhifadhi,
    Tuko pamoja Dada yangu Allah akupe moyo wa ujasiri licha ya huzuni uliyo nayo uweze kumzika mama yako na kilicho baki ni kumuombea maghfira
    Nakupenda sana dadangu Diva
    ....وسعت 4
  • منذ 3 سنوات ‍♂️‍♂️diamond platinumz amchana kisomi alikiba baada ya kujitapa kusign Rich mavoko kwenye lebo yake ya kings music

    >
    .