Tukio hilo limevuta hisia za watu wengi katika kituo kikuu cha mabasi cha Ubungo jijini dar es salaam baada ya jeshi la polisi kupata taarifa kutoka kwa samaria wema na kuweka mtego na kisha kufanikiwa kuwakamata watu hao wawili wakiwa na bunduki moja aina ya smg yenye magazine mbili pamoja na risasi 148.
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 14
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Polisi wafanikiwa kuwakamata watu wawili wanaosadikiwa ni majambazi.: