المدة الزمنية 29:52

IBADA YA SHUKURANI UFUFUO NA UZIMA ROSE MUHANDO AKIIMBA

425 770 مشاهدة
0
1.8 K
تم نشره في 2014/08/13

Katika ibada ya shukurani iliyofanyika katika kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na mchungaji Josephat Gwajima wakimshukuru Mungu kwa ununuzi wa Helikopta kwaajili ya mikutano ya injili Tanzania nzima. Katika video hii malkia wa muziki wa Injili Tanzania Rose Muhando akimuimbia Mungu

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 172