Diamond Platnumz ni msanii wa muziki wa Bongo Fleva Aliyepata mafanikio makubwa zaidi ndani na nje ya nchi. licha ya kuwa ni kijana aliyetokeo katika familia ya kimaskini zaidi. Msanii huyo maarufu ameeleza siri mbalimbali zilizomsaidia kupata mafanikio makubwa aliyonayo sasa.
#Diamondplatnumz #Wcb #Mafanikio
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 11
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Siri 6 Zilizomtoa Diamond Platnumz Na Kumpa Mafanikio.: