المدة الزمنية 1:15

Jinsi Ya Kuzuia Apps Zisiji-Update Automatic Kwenye Play Store. (Android)

بواسطة Tz Eleven
2 596 مشاهدة
0
12
تم نشره في 2017/11/08

Kwa kawaida play store inakuwa imejiseti Auto-Update ili kuhakikisha unatumia matoleo mapya ya apps punde yanapokuwa yametolewa. Lakini wakati mwingine kitendo hiki kinaweza kuwa tatizo pale unapokuwa na bando lenye MB chache na kuna kitu muhimu unataka kufanya katika mtandao. Kwahiyo njia hii itakusaidia kuepukana na tatizo kama hilo la kumaliziwa MB zako kwa kitu ambacho hauna shida nacho kwa wakati huo. __________________________________________ Jinsi Ya Kuzuia Apps Zisiji-Update Automatic Kwenye Play Store.(Android) /watch/gZg_8rwhV5ph_ Jinsi Ya Kuhifadhi Apps Kwenye Playstore.(Android) /watch/MoamVZbOTufOm Jinsi Ya Ku-Copy Link Ya Video Kwenye App Ya Youtube.(Android & IOS) /watch/IX9f-sCEwrlEf Jinsi Ya Kuangalia Vitu Vyote Ulivyotuma Kwenye Whatsapp.(Android) /watch/oaezN_mbuQubz Jinsi Ya Kuseti Daydream Kwenye Simu Yako.(Android) /watch/cvsznFaipzwiz Jinsi Ya Kuzuia Baadhi Ya Apps Zisitumie Bando.(Android) /watch/UVt8hIhOwKhO8 Jinsi Ya Kucheza Magemu Yenye Uwezo Mkubwa Bila Matatizo Kwenye Simu Za Android /watch/0_k68dy2hs026 Jinsi Ya Kuunganisha Internet Kwenye Smartphone Yeyote..(Android) /watch/8qH2GKoO6uIO2 Namna Ya Kuhamisha Apps Kwenda Katika Memory Card..(Android) /watch/Q9PY2_bgcOAgY Jinsi Ya Kurudisha Nafasi Iliyotumika Katika Memory Card..(Android) /watch/0zaE_JkDjrzDE __________________________________________ Usisahau Ku-Subscribe na Ku-Like Ili kupata video nzuri Zaidi!!!! Jiunge Nasi Kupitia ;- Instagram. https://www.instagram.com/tz_eleven/ Facebook. https://www.facebook.com/tz.eleven/ Youtube. /c/TzEleven #tzeleven

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1