المدة الزمنية 8:46

Mchezaji wa kitanzania,Aliesainiwa na timu ya KRC GENK Leo hii,Kelvin john, ndio mbadala wa samatta

بواسطة DARUBINI KALI MEDIA
352 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2021/06/25

#KrcGenk #Belgium #KelvinPiusJohn #mbwanaSamatta Mfahamu mchezaji kelvin pius john kutoka tanzania aliesainishwa mkataba na timu ya KRC GENK Ya Ubelgiji Leo hii, Kwa muda wa misimu mitatu mpaka 2024 ataitumikia timu hiyo... timu hiyo ya KRC GENK Imemshukuru sana mbwana samatta kwa kuwadokezea kuhusu uwezo wa mchezaji huyo tokea akicheza katika timu ya vijana chini ya miaka 18 ya tanzania. @FAFANUOMEDIA @middlesimba @TheDiamondplatnumz @KRCGenkofficial @Harmonize255 @darnewstv.2224 @SimuliziNaSauti @SamMisagoTV @Carrymastory @globaltv_online @millardayoTZA @Infotechsuccess @officialzuchu @BarakaMaheriTheStoryTelleR

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0