المدة الزمنية 12:48

50 Cent na French Montana wararuana Instagram, ni baada ya 50 kukejeli Bugatti aliyoinunua mwenzie

بواسطة Simulizi Na Sauti
20 456 مشاهدة
0
402
تم نشره في 2019/12/31

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 118
  • @
    @davidwalalason7630منذ 5 سنوات Happy of you Montana rise from death, God loves you.
  • @
    @Tiffany340منذ 5 سنوات Basi sawa ni namna nyingine ya kufunga mwaka 2019 na kuukaribisha 2020 3
  • @
    @hamzacedricole3673منذ 5 سنوات We love you my real niggas 50 cent keep up for the best of all the legends in this country USA
  • @
    @marinamooh4055منذ 4 سنوات Jamani Daahhh si kila mmoja awe proud na anachonunu
  • @
    @saisaikalyasi5998منذ 4 سنوات Montana kweli kapaniki, anaeleza mambo mengi wakati mwenzake kasimamia gari tu 2
  • @
    @nsengiyumvabienvenu8491منذ 5 سنوات Hahahahaha wamarekani hao wanahelaaaa kweli 1
  • @
    @chiefkaitaba.m.9466منذ 4 سنوات Dah! Ulaya kwa kudharau pesa jamani khaaaa
  • @
    @eneolatukio8493منذ 5 سنوات hahaa, huyu aliekonda hapa ni nani, ni 50 cent? OMG, kamdisi kweli, Montana katisherr!
  • @
    @D-Man.B-Freeمنذ 4 سنوات 50 cent mahamani kasema wanakopa magari na hela ili waigize Ustar
  • @
    @rehemahussein748منذ 4 سنوات Mbona asitowe sadaka kwa maskini! Kisha washkuru mungu na kutowa maneno machafu! Towa sadaka ndo tujuwe! 4
  • @
    @tonyqersey1732منذ 4 سنوات 50 na french wanaugomvi mda mrefu sana aujaanzia hapa
    Ugov wa 50 na Puffy french akaingilia kwa kutupa chupa nying bia ambazo azija tumika za 50 kwenye dastibin
  • @
    @brizyescoba9006منذ 4 سنوات Huwez shindana na 50 kwenye mitandao atakushinda tu 2
  • @
    @aminaabdallah3644منذ 5 سنوات France Montana say alhamdulillah acha na 50 shades hiyo ndio tabi yake you can't change him
  • @
    @kojkoj3353منذ 5 سنوات This is all about boosting Frenchs album, l hope is not true 4
  • @
    @susanruo8087منذ 5 سنوات Wenzetu wenye mihela wana mambo mingi sana
  • @
    @omromr3805منذ 4 سنوات 50CENT.ni DUDUBAYA WAMAREKANIWIVU TU 8
  • @
    @samuelibky8989منذ 4 سنوات yani vita hadi raha mahana nasikia pesa tu!
  • @
    @umutoni-roussel5233منذ 4 سنوات Celebrities drama,oh my God help your people
  • @
    @stevenmeshack467منذ 4 سنوات 50cent amefulia ana jelus tu kwafrench analolote 1
  • @
    @veronicadaniel1122منذ 5 سنوات Huyo 50 kigagulo wa USA anaroho mbaya na Wivu tu kama haamini hilo gari jipya au la kisasa ameze hicho kitanda alolalia 1
  • @
    @gasanajacques2247منذ 4 سنوات Bro stop translating what’s you don’t understand hahaha 5
  • @
    @sadasaid4408منذ 4 سنوات Kwani uamuzi wake si yeye akitaka la zamani au jipya
  • @
    @yuliisilva351منذ 5 سنوات Mi namdharau 50cent,mwemzie alikuwa anaumwa hoi taabani kapona kaamua kujipongeza angalau ale raha kidogo kwa pesa ambazo hakuwa na uhakika kama atazitumia id="hidden3" class="buttons"> tena japokuwa ni za kwake halafu yeye kachukia!!!! Alipaswa ampongeze siyo kumponda aisee ....وسعت 3
  • @
    @coogyelectrislabsمنذ 4 سنوات Junky nanayake ni mvuta unga mtu alie athirika ba nadawa ya kukevya ndio anaitwa junky
  • @
    @NeemaKmussaمنذ 4 سنوات Mtu yuko na furaha zake iweje mtu alete kubwa waja huyo 50 CET ndo puuzi
  • @
    @rockyvlogs2214منذ 4 سنوات Mimi nimekubali 50 kwanza ubishi umeendelea kwenye gari ila huyu jamaa kaenda mpaka kwa mambo person 2
  • @
    @ringoaskali7625منذ 5 سنوات Kaka mimi napenda sana ushindani wa kweli kama huo sasa ata mond na kiba washindane tuone nani anamali nyingi au nani ana magari mazuri ndo tutapata mshindi hapo nani babalaoooo 3
  • @
    @willeydavid2108منذ 5 سنوات Siwakutane wapigane Sio kujibizan mitandaon wankuwa kama mamanzi
  • @
    @augustuss4503منذ 4 سنوات Ni utani tu huo na sio ugonvi wala sio wivu.
  • @
    @qadirmfaume8217منذ 4 سنوات Yamwaka 2008, dah kweli lazima apewe Makavu 2
  • @
    @michaeltiem5196منذ 4 سنوات 50 utani mwingi ila .KATUTUKANA WAAFRICA
  • @
    @amanimanase5794منذ 4 سنوات Tatzo wabongo akili ndogo,huu ni utan wa kushikaji wao lkn nyie mnadhani ni ugomvi no ni ushikaji tu 3
  • @
    @ROSEROBERTROBARTمنذ 4 سنوات Huyo 56 ndio hana ishu mwenzake kanunu gari yy kinachomuma nini?mtu mzima hovyo
  • @
    @projestusprosper1626منذ 5 سنوات Na hii ndo tofauti ya SNS na page nyingine
  • @
    @alihijiiddi8977منذ 4 سنوات NAMDHARAU 50 NA MSHINDI NIMONTANA NA ALIOSEMA NI UKWELI ALIKUWA AMPENDE BASDA YA HOSPITALI KUMBE KAWAMJINGA 50 ANAZUNGUMZA MANENO YA KISKULI SKULI
  • @
    @ebbyramadhaniمنذ 4 سنوات 50 cent muuni
    Mtu wa makavu
    Af ki marekani hata gar ununue kiasi gani />Kama ya zamani unaonekana umeishiwa
    Kununua gar used marekani haipo iyo ni tabia ya ki africa
    Af 50 cent anakadiliwa kuwa na dolla 30million
    French 14 million
    .
    ...وسعت
  • @
    @queentz8314منذ 5 سنوات 50 hakurupukagiii tu kuna kitu nyuma ansubiriaga ujisogeze kwenye kona yake atakayo kupatia hapo hukuripua 1
  • @
    @phillip2553منذ 4 سنوات French Montana kaongea uongo kua yeye ndo wakwanza kununua Bugatti New York nzima wakati 50 Alisha kua nayo zamani
  • @
    @kimah9855منذ 5 سنوات 50 asilete ujinga hapa kwani anadhani wa Africa wajinga‍♂️ 2
  • @
    @com_sci123منذ 5 سنوات Kindly stop translating for us pliz tunaelewa kizingu tadhali coz it's irritating 1
  • @
    @mohamedshaaban3297منذ 4 سنوات People Will Understand When Use Common Sense Insteady Of Mass Media
  • @
    @simulizi2632منذ 4 سنوات Junkie ni drug addict (mteja) sio takataka. Ni junkie na sio junk
  • @
    @tatiya6883منذ 4 سنوات nikajua mambo yajinga yapo kwetu Africa kumbe nako yapo 50 mchokozi tuuuu
  • @
    @benjaminfataki6898منذ 4 سنوات mshindi ni yule aliye jizawadiya zawadi nzuri bila kuongwa,kisha jinga maarufu likataka,kumzarau ili lipate ushindi feki. 50 anatafuta kiki kwanguvu.
  • @
    @fahadsaid1325منذ 5 سنوات Me wala sibishani san wao wanashindana billion 3.4 wakat mm elfu mbili pia sishindanigi