Headlines za mauaji ya raia wasiokuwa na hatia katiaka Wilaya ya Kibiti, Pwani zinaendelea kuzungumziwa ambapo leo June 29, 2017 Wabunge Goodbles Lema na John Mnyika wa CHADEMA kwa nyakati tofauti walisimama Bungeni kuliongelea huku wakiilaumu Serikali kushindwa kulitatua tatizo hilo.
@silvesteralex9299منذ 7 سنواتLema is one of the greatest speaker of our time,and a great politician. 5
@
@missmuunasharifu2323منذ 7 سنواتukweli unauma, na wanaizungumzia kibit coz wanaumia, wameisha poteza maisha wangap?
@
@veronicawoisso5332منذ 7 سنواتNaamini angekuwa anaishi huko waziri mwenye dhamana ungekuta wameshatafuta suluhisho. Kuna msemo unasema msiba usikie kwa jirani ila si kwako.
@
@amneabdullazizi9889منذ 7 سنواتwanasiasa watu wabaya sana. wanasiasa ndio source ya umwagaji damu popote duniani, naona mnatamani yanayotokea kibiti yatapakae nchi nzima. kwani pakichafuka lema utakaa salama? babako na mamako watakaa salama?
@
@bonnyngowo7567منذ 2 سنوات2022 bado nguvu ya upinzani naiona na Mlingwa amepotea kabisa kisiasa
@
@joycemashikolo9096منذ 7 سنواتata kama mna hoja za misingi lakini kauri zenu zinauchochezi wa kuvunja imani. 5
@
@charlesnoafekwalipibayaali2662منذ 4 سنواتWapi huko katika nchi hii ambako wamesusiana futari?? Hizi siasa zenu muwe wangalifu sana sasa huyu eti ndio mbunge wako hebu umemsikiliza anavyoaema ukimpima id="hidden2" class="buttons"> yupo timamu kweli?? Mwanasiasa au kiongozi makini maneno yake huwa yanaishi na ukiona siku za mbele yanapingana na maelezo yake ya siku za nyuma ujue kiongozi huyo hafai kabisa tena ni wa kuogopwa kama ukoma. ....وسعت1
@
@charlesmagere9020منذ 7 سنواتhivi lema unaelimu gani.yaan unavyeti tu lakn hakili huna.kanye huko.Mnyika nae kapotea tofauti na 2012
@
@naurumnazaleti6774منذ 7 سنواتww unaamani gani mkundu kweli yan ww anachochea nini au anachochea kumgonga mama ako nini fala ww
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Walichosema Lema na Mnyika kuhusu mauaji ya Kibiti Bungeni leo: