المدة الزمنية 3:22

WASAFI imempa baraka zote BABUTALE aende kugombea ubunge Morogoro Mbunge mtarajiwa morogoro viji..

بواسطة Middle simba
12 146 مشاهدة
0
295
تم نشره في 2020/07/03

Please subscribe now on Our YouTube channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #babutale #wasafi #diamondplatnumz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 89
  • @
    @rengoofficial142منذ 4 سنوات You are the best, Middle Simba you have to be rewarded for the good job you always do.love fromtunapenda stories zako Sana. Like hapa kama unamkubali Middle Simba 3
  • @
    @damarissyombua3663منذ 4 سنوات Babu tale pole Sanait really pains but usijali ni Hali ya maisha Tu 2
  • @
    @lembrismusa893منذ 4 سنوات Babu tale ataweza San hata Mimi lembu ningewezaaa 2
  • @
    @juniorcx0114منذ 4 سنوات WCB CHAMA KUBWA DIAMOND PLATINUM NEMBO YA TAIFA SIMBAAAAAA BABA LAO
    BABU TALE MUNGU NAWE
    2
  • @
    @emilymideva8783منذ 4 سنوات Babutale ako stronge anaweza kazi zote mbili #254 all the best taletale.
  • @
    @mobrighttz193منذ 4 سنوات Inatakiwa afanye kazi zot kuongoza pia na morogoro vijijin ana weza na Nina iman anashinda kwa % 1
  • @
    @ezapesambili2130منذ 4 سنوات Sema niko Mwanza ila .ila morogoro lazma wamtie mjengon 3
  • @
    @jaydenkariuki6595منذ 4 سنوات Wish him all the best but nauliza akiwa mbunge so ataendelea kukua manager wa wcb 1
  • @
    @dizzboss7526منذ 4 سنوات WCB Bungeni sasa hahahahah nakubali Middle Simba
  • @
    @florabaruti8032منذ 4 سنوات Tunatakiwa kuelewa ata kama kafiwa lakini maisha lazima yaendelee jamani 2
  • @
    @mjubamasawe3723منذ 4 سنوات Ndo kmtoaa kafaraa mke wake kweliii duuuuuu kweli maisha yanabadilika 1
  • @
    @hamisule3878منذ 4 سنوات Nyieee chichiem mwaka huu tutakushindeni vibaya sana hamtaamin
  • @
    @erickndunguru1824منذ 4 سنوات Kwaio ile msiba ulikua n kafaraaa siiiioo doooo 2
  • @
    @egydiva9073منذ 4 سنوات Mmhhh msiba hata wiki haijaisha.hapo kunakitu
  • @
    @roseshiombo1450منذ 4 سنوات Jaman eeeh si ungevumilia Ata Mkeo amalize sku arubaini wanaume wa sku hzi Kweli hamjali kabsa 1
  • @
    @hamisule3878منذ 4 سنوات Tutakushangazeni mwaka hju chichiem hamtaamin sisi tunaenda na nambar sio nyimbo za wcb
  • @
    @hassanmapenzi6188منذ 4 سنوات Babu tale atashinda uchaguzi WCB Chama lao
  • @
    @hamisule3878منذ 4 سنوات Kama mnazani mtahurumiwa ubunge sababu misiba tutawashinda kama trump alivyomgaragiza hilar clinton chadema digital hii tunaenda na number
  • @
    @habibakhalfan1065منذ 4 سنوات Dhana_ni_Mbaya_mnoo_ila_kuolewa_na_ma_star_ni_Mtihan_mkeo_juzi_tu_leo_watangaza_kuwania__Ubunge 1
  • @
    @francissamson8028منذ 4 سنوات Maisha ni safari, ni wakati sasa kurndelea na safari babu tale.
  • @
    @hamisule3878منذ 4 سنوات Diamond gombeya mboso rayvan salamu na harmonaize wemasepetu nyote tutawagaragiza vibaya
  • @
    @bintykigan6236منذ 4 سنوات Hio nia yakugombea ubunge maskini alikua nayo kitambo Ata mazishi nilimsikia mtu kasema watu wanamdhania vibaya baba wawatu
  • @
    @hamisule3878منذ 4 سنوات Mlikujaa na wasanii wenu zanzibar seif sharifu akawashinda kwa kura 15,000
  • @
    @hamisule3878منذ 4 سنوات Hata zuchu khadija kopa wte wagombee hiii mara hii chadema msingi sio ya makapi
  • @
    @sadashabani3653منذ 4 سنوات Jmn binadam hamjawah kosa chakusemakwaiyo kosa kugombea ndo mseme kamtoa mkewe kafara kaah yatawashnda 1
  • @
    @sarahmunyiva5968منذ 4 سنوات Si mke alikufa juzi tu leo anamka kugombea umbunge?kwaivyo Aliuwa mke dio apate umbunge ?jaman watu wamegeuka kuwa wanyama hata siugelia agalau mwezi moja
  • @
    @zakariamachibula488منذ 4 سنوات Huo ni Fara kabisa yaani mke wako kabisa kipenzi umezika hivi karibu arafu au kuna Siri mbona sipati picha
  • @
    @michelinemapendo6652منذ 4 سنوات Sasa mwanamuke kafariki Leo unapata cheyo, daaaaaah sirizito 3
  • @
    @muanashaswaleh5110منذ 4 سنوات Huyu nae alikula mkewe kwakuwania dunia 1
  • @
    @geoffreymoses1642منذ 4 سنوات Eee why ivoo something mke wake akafa juzi kwan ni sacrifice alitolewa 1