المدة الزمنية 6:25

Alichokizungumza Wema Sepetu nyumbani kwa Godbless Lema

بواسطة Millard Ayo
194 569 مشاهدة
0
787
تم نشره في 2017/03/05

Siku mbili baada ya Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini kuachiwa kwa dhamana, March 5, 2017 Muigizaji Wema Sepetu amemtembelea Mbunge huyo nyumbani kwake akiongozana na rafiki zake pamoja na mashabiki.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 319