mchekeshaji maarufu kutoka katika kundi la cheka tu bossmartha amedai kua mke wa abdu kibba amekua akimsumbua kua anatoka na mumewe lkn martha amesema kua alikua na uhusiano nae zamani na sio sasa.
#kijiweUkwaju
HOST
@fesaltz & @sumaphd
CAMERA MAN
@mboggo.jr & @claudsphillfesaltz