المدة الزمنية 3000

DKT. MADUHU: RAIS SAMIA SULUHU HAPENDI RUSHWA

بواسطة Uwekezaji TV
51 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2021/06/03

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania, Dkt. Maduhu Isaac Kazi amesisitiza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan hapendi rushwa. Hivyo wafanyakazi wa umma hawana budi nao kuchukia rushwa, kwani wanamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mujibu wa katiba.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0