المدة الزمنية 12:33

FURSA MBEYA: Ruge aelezea kinachowafelisha Watanzania kila siku

بواسطة Millard Ayo
19 768 مشاهدة
0
126
تم نشره في 2017/10/18

Fursa 2017 ilikuwa zamu ya Mbeya October 17, 2017 ambapo Watu wa Mbeya walipata darasa la bure kabisa kuhusu namna bora ya kujikwamua kiuchumi na kuongeza thamani ya vipato vyao vya kila siku. Mmoja wa waliokuwa wakitoa darasa hilo ni pamoja na Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds Media Group Ruge Mutahaba na hapa anatueleza namna watu wengi wanavyofeli katika maisha na namna wanavyoweza kuinuka wakiamua.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 17