Gemix Company Limited ikishirikiana na Baraza la sanaa la Taifa (BASATA).
Wanakuletea tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Tanzania (MBVT AWARDS 2021).
itakayotambulishwa rasmi tarehe 1 septemba 2021, na waandishi wa vitabu wenye uraia wa Tanzania, kuanza kujisajili kwenye tovuti rasmi ya mbvtawards.co.tz.
.
VIPENGELE:
➡️ Vitabu vya Biashara na uwekezaji
➡️ Sayansi
➡️ Arts
➡️ Mahusiano na Ndoa
➡️ Vitabu vya Riwaya
➡️ Hadithi Fupi
➡️ Vitabu vya watoto
➡️ Vitabu vya Dini
🛑 Pia kutakuwa na Tuzo za kipekee kwa vingengele vya
➡️ Mwandishi Bora wa Vitabu wa kiume Tanzania.
➡️ Mwandishi Bora wa Vitabu wa Kike Tanzania.
➡️ Duka la vitabu Bora Tanzania.
➡️ pamoja na Biography Bora Tanzania.
.
kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba 0656-058-184.
❇️ MBVT AWARDS 2021
SOMA VITABU UJIONGEZEE MAARIFA, TAARIFA NA KIPATO CHAKO
#Tuzo #Mwandishi #Bora