المدة الزمنية 15:00

EXCLUSIVE: AyoTV yamtembelea Mstaafu Kikwete nanenepa siku hizi, mlikua mnanifuja

بواسطة Millard Ayo
708 708 مشاهدة
0
2.5 K
تم نشره في 2017/08/23

Kama ulikua miongoni mwa wanaotamani kumsikia au kufahamu shughuli anazofanya kwa sana Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, taarifa ikufikie kwamba AyoTV imemtembelea Msoga na akatuonyesha anachofanya.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 463
  • @
    @senatormatemu5580منذ 7 سنوات One of the best video clips ,inspirational move .Congratulations former President JK Kikwete. 13
  • @
    @chipatv677منذ 7 سنوات Mstaafu Jk nakukubali sana. Like hapa km unampenda JK 99
  • @
    @mtanzaniamzalendo7001منذ 7 سنوات mzee wa Msoga hongera sanaa,U na busara sanaa wewe Mzee.Mungu akupe maisha marefu 17
  • @
    @canoksancomprehensivelearn7182منذ 7 سنوات congratulation the former president J.K. I miss you a lot. may god bless you. you encourage us to work hard as farmers. we try to do at our best effort may be one day we can reach the goal. 3
  • @
    @migogelemkude7415منذ 5 سنوات Hongera Mzee utazidi kupendwa daima Allah akulinde akulipe ulitutumikia sema ASANTE SANA 12
  • @
    @renaldakamugishazeramulake940منذ 7 سنوات HUYU baba MPOLE, mkalimu, ana huruma, ana subira YAANI anaweza kutembea kwa mguu usiku kucha bila bodigadi, anaweza kulala nje ya nyumba miaka hata 50 id="hidden2" class="buttons"> bila ulinzi. KTK marais waliopita ameacha historia iliyoandikwa kwa wino wa dhahabu. Asilimia 99.9 ya WATANZANIA tulimpenda. Bila kuwasahau wazee watu 2 MZEE Mwinyi na Mkapa mlitumia akili nyingi saaana kutupatia unafuu wa maisha japo asilimia 50! Tunawashukuru, Mwl. Nyerere anayo pia mengi mazuri Aliyotufanyia tunamshukuru, Rais Magufuri hata anayo mengi mazuri tumuombee tusimkatishe tamaa hakuna aliyekamilika. Hata niliowasifia wanazo pia lawama. MUNGU IBARIKI TZ NA WATU WAKE, WABARIKI VIONGOZI WATU. ....وسعت 26
  • @
    @mugenyagakala3350منذ 7 سنوات maisha bora kwa kila MTZ. Hongera jembe. 15
  • @
    @joelp.gideon9003منذ 4 سنوات You’re my favorite, my Father, and my President ever. I won’t grow weary missing you Daddy. You always touch my personality. you’re the superior one I have never seen. My acknowledgements of you won’t end to death, you’re the Father of kigoma people to date.
    Praying for success in everything that your hands touch.
    Miss your sir !
    .
    ...وسعت
    1
  • @
    @gracekulaba7015منذ 6 سنوات Hongera sana JK. You will always inspire many of us 8
  • @
    @josephgomalo41منذ 7 سنوات Nitajitahidi na mimi nifikie hapo.. asante sana mzee Kikwete .. You practically bring me back to Bagamoyo secondary.. Agriculture class. 10
  • @
    @romanus9700منذ 6 سنوات Safi sana, I am from Kenya and I like Tanzanian leaders from Nyerere, mwinyi makapa, kikwete to magufuli.great leader's. 13
  • @
    @agneserasto9806منذ 5 سنوات Afi sana raid ,wetu mstafu ,kwa kazi njems ya hufugaji ,tutajifunza kutoka kwako , 6
  • @
    @stewartmillanzi7198منذ 7 سنوات Hongera sana mkuu.wewe ndo mfano bora wa kiongozi mvumilivu unayejitambua na kufanya mambo kama mtu mzima. Hongera kwa kuwa msuluhishi mzuri. Wenzako id="hidden4" class="buttons"> uliowaacha hawajiwezi.wamebaki kufanyiana visa tu na hata majirani zao wameanza kuwa na utata nao. Ni hatari tupu. Kumbe wewe ulikuwa chaguo la Mungu. Tumekumisi sana Kamanda. ....وسعت 3
  • @
    @jimmyjohn8184منذ 6 سنوات Safi sana mzee wetu, vijana tupo nyama tunasubiria baba usafishe njia nasi tupite kwa wepesi. Mungu akufanyie wepesi na kukuhifadhi miaka mingi zaidi 2
  • @
    @alquinmadoro5767منذ 7 سنوات Hongera Sana mkuu
    Wewe ni mfano WA kuigwa ,yan daaah
    Much respect kwako president
    32
  • @
    @abeidmayanga809منذ 7 سنوات Mwanasiasa mwenyesiasa zake we miss u mheshimiwa jk 16
  • @
    @moviesandinfotv9933منذ 5 سنوات Naomba Kaz ya kukamua maziwa mzee wetu nakupenda mstaarab sana 7
  • @
    @bertinsayumwe6621منذ 6 سنوات we miss you our lovely Dad Mungu akupe maisha marefu 1
  • @
    @fransicochunji327منذ 6 سنوات Mungu akuinue mheshimiwa,kazi yako imeonekana,ndo maana Tanzania iko hapa. 1
  • @
    @gregorymmasi3442منذ 6 سنوات Miss u sana mzee wetu. Hope one day nitakuona. Busara kubwa. Appreciated sana live long Mzee JM Kikwete. 1
  • @
    @flyhigher5393منذ 7 سنوات mzee huyu ana hekimaaa sabaa,mwnyez mung ampe maisha marefu. Amiiin 24
  • @
    @hosearwechungura7164منذ 7 سنوات Tunakupenda sana Mhe. Jk, Obama wa Tanzania! 6
  • @
    @abdallahmashua7234منذ 7 سنوات Safi sana kiongozi,naona unazidi kutuongoza kwenye ujasiriamali 7
  • @
    @nkeshgomegwa1677منذ 4 سنوات Duh nafurahi sana nikikuona baba Mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu
  • @
    @jamesjoseph4460منذ 7 سنوات Nimeipenda hiyo mkuu kwakweli ninahitaji elimu hiyo ya ufugaji wa ngombe wa maziwa ,na kilimo.Mungu akubariki elimu hiyo itufikie na huku KAHAMA,asante sana. 1
  • @
    @michaelchongolo1316منذ 7 سنوات nakupenda sana mzeee wangu jk haya ndo maisha yetu 5
  • @
    @NashonMbumba5منذ 7 سنوات Hongera rais mstaaf.hiyo n kazi njema 1
  • @
    @adamgeorge5532منذ 7 سنوات nice sana baba your good example for people 2
  • @
    @jumamataro4870منذ 2 سنوات Jakaya poa sana watanzania tunakutakia maisha malefu mbele za mungu
  • @
    @kibondeezekiel4459منذ 7 سنوات AYO TV nawakubali Sana. Hiyo Ilikiwa bonge la Interview.our ex-President is so inspirational! 1
  • @
    @marymichelle6280منذ 5 سنوات Very inspiring interview, hongera sana mheshimiwa Raisi mstaafu.
  • @
    @ismailramole1700منذ 7 سنوات DAH.KWELI YOU WILL NEVER KNOW WHAT YOU HAVE UNTIL WHEN YOU MISS IT.NOW NDIO NAJUA UMUHIMU WA MZEE WETU JK.HE WAS A GREAT LEADER WA MFANO AFRICA.GOD BLESS YOU AND YOUR FAMILY. 15
  • @
    @abedkirway3640منذ 5 سنوات Mwenyenz Mungu akupe maisha marefu Babaetu tunaekupenda jk Rais Wa mfano duniani
  • @
    @mosesndahani3049منذ 5 سنوات Rais wetu unamoyo wa peke Mungu akujalie maisha marefu. 1
  • @
    @halimamlili8803منذ 7 سنوات Tumekimis kwakweli baba yetu mung akupe maish malefu 7
  • @
    @maryamsinganomaryamsingano7938منذ 7 سنوات nimtu msitaalabu sana na mcheshi sana mungu akupe umri mrefu 9
  • @
    @daudimaguha9447منذ 7 سنوات ridhiwani, mshauri dingi afuge Ng'ombe wekundu, sawasawa.? 11
  • @
    @yunushamis4839منذ 5 سنوات safi sana unahekima, unajua kujibu dah! wanaokutukana mungu anawaona akina msiba walaaniwe kabisa safi sana kwa darasa lako nimejifunza kitu kupitia majibu yako mazur.
  • @
    @enockkitomarys4909منذ 6 سنوات ni juhudi nzuri mh jk mungu akupe maisha marefu
  • @
    @fransicochunji327منذ 6 سنوات Asante mheshimiwa kwasomo lakilimo,kuna kitu kikubwa sana,umekifundisha
  • @
    @wazirisaid8326منذ 2 سنوات Hongera sana Mheshimiwa JK. Unaonekana kijana na mwenye afya njema kuliko wakati ulee. Hii ni kwasababu huna roho mbaya wala chuki. Wewe ndio baba yetu id="hidden9" class="buttons"> wa Taifa Sasa mzee wetu Mwinyi umri umeshakwenda. Allah azidi kukujalia afya njema wewe na familia yako inshallah. ....وسعت
  • @
    @esperancenathaliمنذ 4 سنوات Tanzania kila kiongozi anaye mnae mchagua huwa anajaa tabasamu na nyuso za ukarimu big up sana my country born 1
  • @
    @ramadhaniissa5370منذ 5 سنوات Nakukubari kikwete we ninoma nakupenda we ni raisi bora kuliko maraisi wote thenk you Mr plesdent 1
  • @
    @simonmacktauo6521منذ 7 سنوات i wish you were still our president .we miss you so much. so deep in agriculture mpaka unajua tissue culture.congrats sana nazichanga na mimi nije huko kupiga picha tuu. 2
  • @
    @stephanomoses7694منذ 2 سنوات Dr. Bna anaish maisha ya raha sana hana hata matambo yan
  • @
    @charlesmartin1448منذ 7 سنوات congratulations my former president .That was good 2
  • @
    @sanaanimaisha4072منذ 7 سنوات Tunakupenda sana mstaafu.
    Hekima na busara zako hazina kipimo.
    Wewe ni mfano wa kuigwa.
    7
  • @
    @yohananoah6628منذ 7 سنوات mzee hongera sana mh ila tatizo mtaji tu aidia nzuri 2
  • @
    @anthonyyalanda1540منذ 4 سنوات Mkuu Kikwete Barikiwa sana,kilimo ni uhai wa maisha ya mwanadamu,hongera baba
  • @
    @janebrighton7312منذ 4 سنوات After nyerere your the best too for me
  • @
    @agnesschengula5937منذ 4 سنوات hatataacha kukumbumbuka kwa mema uliyotutendea.mungu akupe maisha marefu mheshimiwa
  • @
    @veronicadaniel1122منذ 5 سنوات Nakupenda sana mzee wangu kwa hekima ulonayo
  • @
    @abedymigodela1314منذ 5 سنوات Kwakweli kikwete ni mwisho wa maelezo aiseeee Mungu akurinde mh. 1
  • @
    @SensaManzagata-tv7dsقبل 5 أشهر Hongera sanaa Rais msitafu wa awamu ya nne nimeisoma sana hiyo click yako ya kilimo na ufugaji uliyoitoa miaka wakati nikiwa form two ukiwa kwenye mazungumzo ya ayo tv
  • @
    @thomasraiton7760منذ 7 سنوات Nakukubali sana rais mstaafu kupiga stori na vijana wako namna hii raha sana Mkapa hawezi muda wote yeye ni utandawazi na siasa tu. 1
  • @
    @chachayohana2717منذ 7 سنوات Hakika umenihamasisha sana kiongozi, ili mtu ufanikiwe lazima uwe na mawazo mbandala na si kuangalia kwa macho yote kazi moja. Mungu akujaalie afya njema.