المدة الزمنية 51:6

SIRI YA MAFANIKIO YA VINARA WA TANZANIA- ZANZIBAR 2019

448 مشاهدة
0
5
تم نشره في 2019/10/06

Kutana na Wahda Mbarak Uzia ( Mwanafunzi Bora namba 8 wa Kike wa Kidato cha Sita kwa Tanzania mwaka 2019) na mwanafunzi bora wa Kwanza Zanzibar Na Is-haka Uhuru Hemed , Mwanfunzi Bora wa Kiume Zanzibar Wote wakiwa na matokeo ya Division one ya Point Nne (4) na kupata "A" mbili mbili na "B" moja katika masomo ya PCM , Physics, Chemistry na Advanced Mathematics

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2