المدة الزمنية 5:7

SALA, DUA, MAOMBI NEW VICTORIA HAPA KAZI TU IKITIA NANDA BANDARI YA BUKOBA

بواسطة KAGERA TV
67 مشاهدة
0
4
تم نشره في 2020/06/29

Meli ya NEW VICTORIA HAPAKAZI TU imetia nanga bandari ya Bukoba baada miaka kadhaa iliyopita kusitisha safari zake na kwa ajiri ya matengenezo yaliyogharimu zaidi ya bilioni 22 hadi kukamilika. Shehke wa mkoa Kagera Haruna Kichwabuta amejikuta akimuombea kura za ndiyo mh, Rais Magufuli wakati alipopewa nafasi ya kuiombea meli ya NEW VICTORIA HAPA KAZI TU ili iweze kuanza safari zake salama salimini. #Subscribe_#Like_#Comment_#Share KAGERA TV ONLINE.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0