المدة الزمنية 11:47

MKE AMMWAGIA MUMEWE SUFURIA LA MAHARAGE YA MOTO USONI

بواسطة Geah Habibu
22 279 مشاهدة
0
322
تم نشره في 2021/12/08

Maeneo ya Goba ndipo tukio hili limetokea ambapo Mwanaume huyu amenusurika kifo baada ya kumwagiwa usoni na mkoni jungu la sufuria liliokuwa na maharage ya Moto,tukio hilo la kikatili amefanyiwa na mkewe ambapo Mwanaume huyo anaeleza kuwa chanjo cha kufanyiwa hivyo ni baada ya yeye kurudi nyumbani kimyakimya bila kumtaarifu mkewe na alipofika nyumbanimida ya saa moja usiku alikuta mkewe hayupo hadi ilipofika saa sita usiku ndipo mkewe alirudi nyumbani.Anasema baada ya kumuuliza mkewe alipokuwa Mkewe alimjibu kwamba alienda kudai madeni ndio maana amechelewa kurudi jibu ambalo yeye Mwanaume hakuridhika na jibu hilo na kumwambia mkewe arusi alipotoka.Kwa mujibu wa Mwanaume huyu anasema hapo ndipo ugomvi ulipoanzia na Mkewe alichukua sufuria ya maharage aliyokuwa amebandika na kummwagia usoni. #geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 216