المدة الزمنية 2:26

Seneti na Hazina kulaumiana

بواسطة LOOK UP TV
19 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/08/19

Seneti na Hazina zimehusika katika mchezo wa lawama baada ya miezi miwili bila fedha katika kaunti mbalimbali. Kaunti hazijapata senti katika mwaka huu wa fedha, na hii imeanza kuziingiza katika mgogoro ambao unatishia kuharibu shughuli zao. #KutokaMashinani

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0