المدة الزمنية 2:5

Kinara wa ANC Musalia Mudavadi asema kuwa mkutano katika Ikulu ya Mombasa haukuwa wa kisiasa.

بواسطة LOOK UP TV
27 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/08/19

Musalia amesema kwamba kufuatia ongezeko la visa vya Maambukizi ya corona nchini wizara ya afya imerai kusitishwa kwa Mikutano ya kisiasa .aidha Musalia amesema kwamba hawakupata Shinikizo lolote la kummunga mkono mgombea yeyote wa urais #TaarifaKuu

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0